Tetesi.Sir Alex Furgason akata rufaa.

Tetesi.Sir Alex Furgason akata rufaa.

Landala

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
997
Reaction score
481
Kocha wa timu ya Man u Sir Alex Furgason amesema kuwa timu yake itakata rufaa kutokana na Barcelona kuchezesha wachezaji zaidi ya 11 uwanjani,pia anasema kuwa amedhalilishwa sana timu ya Barcelona kwa pasi walizokuwa wanapiga na kuwafanya wachezaji wote wa Man U kulazwa hospital baada ya mechi kutokana na miili kuuma kutokana na uchovu.
 
Aisee tafuta kituko kingine bna, toa uasernal wako hapa
 
Inachekesha sana Mashabiki wa Arsenal, Chelsea, Liverpool wanajiliwaza..Man bana
 
  • Thanks
Reactions: Iza
Mimi si fan wa United, lakini haichekeshi!
 
lazima wanune si walisema lazima washinde, tunawajua walivyo, wazee wa kuchonga sanaaaaaaaaaaaaaaa, usipocheka wewe watacheka wenzako, si lazima tucheke wote. tehe tehe tehe heeeee
 
Inachekesha sana bingwa wa uingereza uliejinata ushachukua mara 19,then kufanywa kinyago na kituko vile,mlijitapa sana man u,saizi yenu
 
Eti haichekeshi unavyoona ww?ule ni mpira wa miguu i mean football,sio mchezo wa ng'ombe mnaocheza uingereza,man u umetiwa aibu.
 
man u utawaonea hao hao waingereza kwenye ushindi wako wa kupewa,ulikuwa unaenda mbio tu,hakuna chicha naazi rito,wala kizee gigz
 
Aibu kwenye ball posess,aibu kwenye pasi,aibu hata kona 1 hujapata?kilichotokea 2009 ndio vile vile majuzi,man u hamna timu mna uharo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom