Tetesi.Sir Alex Furgason akata rufaa.

Tetesi.Sir Alex Furgason akata rufaa.

Kinachofanya tufurahi ni kwamba mnaongea sana utadhani nyie ndio barca,na mliongea sana,mwishowe mmepata aibu na kasha,na fedheha juu
 
Nilifikiri ni mimi tu kuona body vibration ya Babu Fergz, kumbe wengi waliliona hili, kumbe Barca ni baridi kali sana kwa Man U eeeh!
 
Utawajua tu miaka nenda miaka rudi ubingwa wanausikilizia kwenye bomba..
 
Aaaarrgghhh i swear i'll bust my screen if i see this post replied again!
 
ol in ol man u walifanyiwa hadharani wakafanyika, unaleta mchezo nini, watu walitelekeza bendera na mavuvuzela tehetehe
uefa no kubebwa, wamezoea kubebwa na marefa wa england kama tom web?
 
Aaaarrgghhh i swear i'll bust my screen if i see this post replied again!

if u do so, it will be not coz of this thread,but coz of messiiiiiii.........wembley changed to wembeeee to u
 
we uliyetuma hii post punguani mkubwa huna akili hata moja na si ajabu unakojoa kitandani hadi leo hiloo kubwa zimaa ovyoooo
 
Was soo nice watching that game, I felt like climaxing dah! I lost my voice for screaming
 
we uliyetuma hii post punguani mkubwa huna akili hata moja na si ajabu unakojoa kitandani hadi leo hiloo kubwa zimaa ovyoooo

Mesi oyeeeee!
vila oyeeeeee!

on that night barca made my day bright
 
Mzee nilifurahi sana siku ile bwana,kwani hapa kazini kwetu kulikuwa na mpango hawa man wafanye party, matokeo yake watatu wakawa hoi bin taaban!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom