Tetesi: Matajiri wa Mwanza hawajui kuvaa.

Tetesi: Matajiri wa Mwanza hawajui kuvaa.

Hizi tetesi nimezisikia muda mrefu sana, lakini leo ninachokiandika ni ushuhuda wa macho yangu.
Nipo Malaika Beach, amekuja tajiri mmoja mwenye viwanda vya kusimika samaki.
Amevaa shati la purple, suruali nyekundu na viatu vya blue.
Nlipotambulishwa almanusra nizimie.

Mkuu, uvaaji wa hivyo unaitwa kiutaalamu
"color blocking"
:mod:
 
ndugu utajiri mwingi wa mwanza na kanda yake unashirikisha mambo yetu sijui niseme ya utamaduni ama lah
moja ya masharti ni hayo ukivaa nguo nzuri umasikini unaona mbele yako so sio wao ni masharti yanawafanya hivyo
wavumilien ndio wanaoweka mji safi nakodi zao pengine hata mmliki wa malaika ulipo nae ni wale wale
 
Hizi tetesi nimezisikia muda mrefu sana, lakini leo ninachokiandika ni ushuhuda wa macho yangu.Nipo Malaika Beach, amekuja tajiri mmoja mwenye viwanda vya kusimika samaki.Amevaa shati la purple, suruali nyekundu na viatu vya blue.Nlipotambulishwa almanusra nizimie.
Mkuu, ujue viwanda vyote vya kusindika samaki Mwanza ni vya wahindi, kwa hiyo wewe unaongelea wahindi au?
 
Bujibui....Umemuona tajiri gani bana....Tajiri wa nini? Unataka avae kama papa musofe au ndama mtoto wa ng'ombe? Au avae suti kama mengi?
Kama matajiri au utajiri unao uzungumzia ni upi labda na umefanya comparison na matajiri wa wapi?
 
ha ha ha ha ha ha ha ha..unakuta msukuma kanyuka pamba zake kashain ile mbaya adi anaumiza macho rangi kibao..naskia bado wanatembea wamebeba brifkes na kiko mdomon !?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom