(TETESI)-MACHAME FAILURE MISSION

utasikia wakisema umekaa na mimi miaka yote hata hujanijengea?!

Sasa unajiuliza umjengee ili akaishi mbali na wewe au vp?
 
Hujawahi kusikia kesi mtu amedhulumiwa eneo/nyumba ilihali ana document zote halali?
Punguza mhemko,nikikwambia unieleze kuwa unadhulumiwaje huku una nyaraka halali huwezi kujibu.

Wewe kwa kutumia akili ya kuvukia barabara unahisi inawezekena?? Namaanisha kwamba nyaraka zote zimethibitishwa na mahakama.
 
Mungu anahimiza kwa sisi waislam tuoe wanawake kuanzia wanne, watatu, wawili tukishindwa kabisa kufanya uadilifu basi tuoe mmoja.

Ukichunguza kuna hekima kubwa sana ndani yake .

Kuishi na mwanamke mmoja miaka yote ni janga, mazoea na dharau zinazidi. Bora asiwe anakuona hata kwa siku 3..ndio mapenzi yenu yanaweza kusurvive kwa muda mrefu. Distance creates affection
 
Punguza mhemko,nikikwambia unieleze kuwa unadhulumiwaje huku una nyaraka halali huwezi kujibu.

Wewe kwa kutumia akili ya kuvukia barabara unahisi inawezekena?? Namaanisha kwamba nyaraka zote zimethibitishwa na mahakama.
unaongea upupu....Mimi nishahudia mtu kadhulumiwa nyuma kariakoo na jamaa wa kichaga ili hali alikuwa na documents zote za hati na kila kitu. WEWE UNAIJUA PESA JINSI ILIVYO?
 
Mimi nishahudia mtu kadhulumiwa nyuma kariakoo na jamaa wa kichaga ili hali alikuwa na documents zote za hati na kila kitu.
Punguza mhemko,nani amekuambia ukiwa na nyaraka zote ndiyo kila kitu??

Hizo nyaraka zote zilikuwa halali? Au umebakia kwenye nyaraka zote?? Halafu hata mjinga huwa anashuhudia.
 
Tangu maandiko yameamdika tuishi nao kwa akili ni leo au Jana? Mbona matatizo kibao yanendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…