Tetesi Kifo cha Kgame: Ikulu wakanusha

Tetesi Kifo cha Kgame: Ikulu wakanusha

Status
Not open for further replies.
basi ambasador wataimba kwetu pazuri, na ni kwanini umeyaruhusu. ila tusubiri tuone.
 
Kwenye mitandao tofauti kumezuka habari zinazosambaa kwa kasi kuwa Rais Rwanda Poul Kagame amefariki dunia.
Hali iliyopelekea maandamano ya kusherekea katika mji wa Goma huko Drc. hata hivyo afisa habari kutoka ikulu ya kigali ameyaita madai hayo kuwa ni Upuuzi.

Hadi sasa bado hali ya taharuki imetanda miongoni mwa watu tofauti.

Link Hii inaonyesha mambo yalivyokuwa It's crazy rumors are flooding on Twitter that #Kagame's dead. Can't read why but whoever spread it, it's a big joke, : FidelBaf
 
Wadau leteni tarifa hizi, mimi kuna jamaa kaambiwa na watu wa goma kuwa jamaa kadedi. Na amesema huko goma kuna hekaheka kubwa sana ya taarifa hiyo. Nimejaribu ku_googlea, sikupata matokeo yoyote ya rumours hizo. Wenye taarifa za kweki, tafadhari tujuzeni.
 
Wadau leteni tarifa hizi, mimi kuna jamaa kaambiwa na watu wa goma kuwa jamaa kadedi. Na amesema huko goma kuna hekaheka kubwa sana ya taarifa hiyo. Nimejaribu ku_googlea, sikupata matokeo yoyote ya rumours hizo. Wenye taarifa za kweki, tafadhari tujuzeni.

Goma kuna maandamano makubwa ya kusherekea ndiyo. lakini Msemaji wa rais katika ikulu ya kigali amekanusha na inasemekana Pres Kagame anaendelea na mkutano na wageni wake ambao ni wanafunzi wa chuo kimoja nchini Rwanda.
 
Kifoo.jpg
wanachi wa mji wa Goma wakiwa wamebeba mfano wa jeneza wakisherehekea baada ya Fununu kuhusu kifo cha Pres Kagame kuuwawa. hata hivyo inasemekana kuwa habari hizo zilikuwa ni uongo.
 
View attachment 131382wanachi wa mji wa Goma wakiwa wamebeba mfano wa jeneza wakisherehekea baada ya Fununu kuhusu kifo cha Pres Kagame kuuwawa. hata hivyo inasemekana kuwa habari hizo zilikuwa ni uongo.​
Sasa hapo watutsi wanapata picha gani? mtu anahisiwa kufa halafu wengine wanashangilia! Hapo si inaonyesha ni kiasi gani mtu huyo anavyochukiwa.... mmh! this is telling the world something else.. now PK and his family and all his supporters should know how this man is hated all over..
 
Labda tumwulize murutongore anaweza kuthibitisha, Ila pia nitafurahi kama hajafa ili ajue siku atakapokufa itakuwa hivi.
 
Last edited by a moderator:
inapofikia hatua jamii ya jirani ikakuchukia kama hivi.jitihada za kumrudia mungu zinahitajika.
Ndugu yangu, kwa kiburi cha kitutsi alichokuwa nacho kagame anajua kama yuko MUNGU kweli?? nahisi yeye ndiye anayejiona kuwa ni mungu...
 
Kumbe haka kajamaa hakapendi namna hii??
 
Nimepata simu kutoka Bukavu inaeleza Kagame kauawa kweli? Mwenye taarifa zaidi wadau
Hivi wewe akili yako ni nzima kweli? Umepata simu ikisema P.K kauawa, halafu unatuuliza sisi humu kama ni kweli au la! Kuambiwa uambiwe na mwingine, kuulizia ukweli uulizie kwa wengine! Hivi sisi na wewe nani alipaswa kuuliza kama hii habari ni ya kweli au la? BTW: Heading yako inasemaje vile, kwamba Tetesi kweli Kagame ameuawa? Nonsense!
 
Hivi wewe akili yako ni nzima kweli? Umepata simu ikisema P.K kauawa, halafu unatuuliza sisi humu kama ni kweli au la! Kuambiwa uambiwe na mwingine, kuulizia ukweli uulizie kwa wengine! Hivi sisi na wewe nani alipaswa kuuliza kama hii habari ni ya kweli au la? BTW: Heading yako inasemaje vile, kwamba Tetesi kweli Kagame ameuawa? Nonsense!

rip muuaji kagame , msalimie lucifer na akina savimbi
 
Home >> World
Rwandan
presidency
dismisses
Kagame death
rumours
Most Popular in News
MORE FROM OTHER SECTIONS
IPL 7: CSK retain Dhoni, Jadeja,
Ashwin, Raina and Bravo
Yaya Toure named African Footballer
of Year
Serena could face Stosur in fourth
round at Australian Open
Moyes nominated for PL`s Manager of
the Month award
`Dedh Ishqiya` review: Dark comedy at
its finest!
‘Gulaab Gang’ trailer
Bollywood`s own Superhero Hrithik
Roshan turns 40
Kapil Sharma going great, shoots with
Salman Khan!
Salman, Madhuri find support in Shah
Rukh Khan
Last Updated: Friday,
January 10, 2014, 15:39
Share 5
Tweet 9
0 12
Tag: Rwanda, President, Paul
Kagame, Death rumours
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom