Said Bagaile
JF-Expert Member
- Jun 23, 2011
- 686
- 256
Ni taarifa nilizotumiwa na mtu aliyepo eneo la tukio ni eneo la Mlandizi bus lilikuwa linatokea Dar kwenda Dodoma.
Acha tu waendelee kufa!
Inasemekana ni watu wanne tu ndio wamefanikiwa kutoka. Tumwombe Mungu atuhepushe na hizi ajali
kwenye red hapo...yaani hawatoshi walipaswa kufa wengi!!! ....najua hujadhamilia na humaaninishi ninachokisema ila next kuwa makini
Yani wewe akili ulizonazo zinafanana na hilo jina lako la kwanza wala ukukosea na laana iwe kwako binadam usie na huruma!!
kwenye red hapo...yaani hawatoshi walipaswa kufa wengi!!! ....najua hujadhamilia na humaaninishi ninachokisema ila next kuwa makini
Kwakweli nyani ngabu huna utu
Ni taarifa nilizotumiwa na mtu aliyepo eneo la tukio ni eneo la Mlandizi bus lilikuwa linatokea Dar kwenda Dodoma.
Hivi nini KINACHOENDELEA TZ?? mana hapaish mwezi bila kuskia ajali za kutisha.