Tetesi: Basi la Shabib lapata ajali lawaka moto, maiti kibao!

hivi haya mabasi hayakaguliwi siku hizi? au kulikuwa na madumu ya petrol ndani yanasafirishwa nini? au alshabab wameivamia tza? sielewi hata kidogo.
 
Duh, polen sana ndugu zetu poleni na amani ya MUNGU wa watu wote wajaze faraja
 
Mna majonzi lakini hamjifunzi. Hadi mfe wangapi ndo mjifunze? Ebo!!

unajua wengi hawakuelewi hapa, wanahisi unashangilia vifo vyao, kumbe jazba imekuzidi. taratibu tu mkuu, tutafika, hata hapa dar tunasubiri barabara za juu tuchinjane vizuri angani na hivi vimeo vyetu vya magari.
 
we NYANI NGABU hivi km kwenye ajali hy angekuwemo mama,baba au mwanao ungesema acha wafe? Naomba ufute hy post yk kbl MUNGU HAJAKUPA JARIBU KM HILO
 
Afadhali wapo ambao hunielewa!
 
we NYANI NGABU hivi km kwenye ajali hy angekuwemo mama,baba au mwanao ungesema acha wafe? Naomba ufute hy post yk kbl MUNGU HAJAKUPA JARIBU KM HILO

Limungu gani litanipa jaribio kama hilo? Kwanza acheni kulisingizia hilo limungu katika hizi ajali. Hizi ajali ni makosa na matokeo ya watu kwa asilimia 100.
 
13.gif
HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA BASI LA DELUXE LINALOFANYA SAFARI ZAKE DODOMA-DSM, LIMEPATA AJALI MBAYA NA KUUNGUA MOTO MUDA SI MREFU MAENEO YA SUGUSUGU LIKIWA NJIANI KUJA DAR. INASEMEKANA KUWA ABIRIA WENGI WALIOKUWA NDANI YA BASI HILO WAMEUNGUA MOTO. PICHA ZA TUKIO HILO ZITAWAJIA MUDA SI…

Hii itakuwa ni Misugusugu... by Global Publishers
 
Komredi..mimi siku hizi nikisikia kuna ndugu yangu wa karibu anasafiri na basi ninakuwa na kiroho dunda hadi atakapofika mwisho wa safari. Mi mwenyewe sipendi kabisa kupanda hayo mabasi.

Yaani madereva wa bongo wanaendesha huku kichwani anafikiria Diana atamkuta kweli leo au ametoka off mbele unakuta mzinga
 
Poleni Majeruhi wote, Mungu awajalie uponyaji wa haraka. RIP Marehemu. Poleni wafiwa

Hamna maneno mengine ya kusema au kuandika kwa wakati huu, ndio imeshatokea ingawa kimsingi tunahitaji sheria nyingine kali zaidi juu ya wamiliki na madereva wa mabasi vinginevyo watatumaliza na tutaishaaaaaaaa
 
ni basi la delux ndo limepinduka na kuwaka moto...watu 40 wanahofiwa kufa
 
unajua wengi hawakuelewi hapa, wanahisi unashangilia vifo vyao, kumbe jazba imekuzidi. taratibu tu mkuu, tutafika, hata hapa dar tunasubiri barabara za juu tuchinjane vizuri angani na hivi vimeo vyetu vya magari.

Mkuu hizo barabara ni ndoto maana si unajua wakati wa kampeni unaweza kuahidi hata pepo!
 
Back
Top Bottom