Tetemeko la Ardhi Kasulu, Kigoma leo

Tetemeko la Ardhi Kasulu, Kigoma leo

MARKYAO

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
673
Reaction score
681
Kuna tetemeko la ardhi limepita hapa Kasulu Kigoma leo tarehe 09/09/2019 majira ya saa 9:40 kamasekunde 20 hivi. Nadhani kuna sehemu limesikika zaidi ukanda wa magharibi. Hakuna madhara yoyote maana halikiww kubwa..
Nawasilisha
 
Saa 9:40 ziko mbili kila siku. Mtu makini na aliyeenda shule lazima abainishe (specify) ni saa 9 ipi kati ya hizo mbili. Natambua shule umekwenda, sasa ongeza umakini.
 
Hahaaha limenifanya nitake kutoka na boxer huku nimeshikiria suruali na tshet
 
Daaah, nikadhani naota kumbe ni tetemeko jamani, limetokea majira ya usiku wa manane kuanzia saa 03:39:47' mpaka 03:40:09'
 
Kuna tetemeko la ardhi limepita hapa Kasulu Kigoma leo tarehe 09/09/2019 majira ya saa 9:40 kamasekunde 20 hivi. Nadhani kuna sehemu limesikika zaidi ukanda wa magharibi. Hakuna madhara yoyote maana halikiww kubwa..
Nawasilisha
Nlikua Club apa FM daaaaah tukatoka mbio balaa tulijua inataka kuanguka
 
Hapa katavi ilikua balaa mida ya sa8 usiku nikajua parapanda tiyari imelia
 
Saa 9:40 ziko mbili kila siku. Mtu makini na aliyeenda shule lazima abainishe (specify) ni saa 9 ipi kati ya hizo mbili. Natambua shule umekwenda, sasa ongeza umakini.
Mleta uzi ameandika tarehe kuashiria kuwa ni leo hii tukio hilo limetokea na tangu leo ianze ni 9:40 moja tu imeshapita, hiyo ya pili bado. Hivyo tunahitimisha kuwa bila ya shaka yoyote kuwa tukio limetokea wakati uliopita! Shukran.
 
Saa 9:40 ziko mbili kila siku. Mtu makini na aliyeenda shule lazima abainishe (specify) ni saa 9 ipi kati ya hizo mbili. Natambua shule umekwenda, sasa ongeza umakini.

Mtu makini na aliyeenda shule anajua Tar 9.9.2019 mpaka sasa ni saa 9 moja ambayo imepita.
 
Back
Top Bottom