Tetemeko la Ardhi Kasulu, Kigoma leo

Tetemeko la Ardhi Kasulu, Kigoma leo

Limetutia hofu na mfadhaiko mkubwa wana mpanda katavi ,,,,,usiku huu wa tar.9/9/2019 SAA 9:39/40 alfajiri ulikuwa mchungu kwetu,,,,,,,hatukulala kabisa. Hakika hatuta isahau SIKU hii na halijapata kutokea tetemeko kama hili tangu uwepo wangu duniani.Tunamshukuru Mungu halijaleta madhara makubwa.
 
Back
Top Bottom