Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,190
- 34,526
Hahhahahhahaha jamani sina moja hapaNdio hivyo ukimaliza kucheka otea jina la meli.
Hahhahahhahaha jamani sina moja hapaNdio hivyo ukimaliza kucheka otea jina la meli.
WhatEe what
Hahaha wenzako walikua wanasema WHAT kwa maana ya kujibu swali kwani hapo jina la meli ni WHAT na sio hilo ulilolisema wewe.The answer is "captain Ali's ship"
I think am genius more than hawa wanaojifanya hawajaelewa swali et what,
Haya mkuu nipe maksi
Hakuna anayejua Na wewe unatuuliza!The name of the Ship is WHAT.
Lol, me nimejibu kua jina la meli ni WHAT.Hakuna anayejua Na wewe unatuuliza!
Lol, me nimejibu kua jina la meli ni WHAT.
Kweli ww n genius mzee babaThe answer is "captain Ali's ship"
I think am genius more than hawa wanaojifanya hawajaelewa swali et what,
Haya mkuu nipe maksi

Umecheka alivyoingia chakaHahahahhahaha haki nimecheka sana