Ni kweli memory ya binadamu ina uwezo mkubwa sana wa kuhifadhi vitu kwani kuna millions of neurones ambazo kwa mujibu wa Neuro Surgeons ni kwamba only 1% tu ndiyo imeshatumika pamoja na ugunduzi mkubwa wa kisayansi uliokwishafanyika!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
AhhaaaahahahahahaNakumbuka nkiwa mdogo sana na miaka 3, nilimng'ania kaka yangu niende nae Shamba, nikiwa shamba nkabanwa na Haja akanichimbia shimo karibu na shina la maindi nkakata gogo pale akafukia akaniambia ile ni mbolea hivyo indi litastawi sana basi ikawa kila safari ya shamba nataka niende kuliangalia indi langu, kabla Ya mavuno nikatenganishwa nae kwa Miaka minne ila lile indi lilinikaa sana kichwan na nilipoonana nae nikamkumbusha....
Mkuu nazitafuta sana hizo nyimbo za hao Wasouth,kama utaweza naomba uorodheshe majina ya hizo nyimbo hapa nizitafuteAhsante kwa mada nzuri mzee pasco @@pascal mayala mayala japo ni ya kitambo kiasi.
Naweza recall kumbukumbu za muda mrefu kupitia MUZIKI.
Kwa mfano enzi za utoto wetu, familia yetu ilikuwa ni ya kidini sana. Baba alikuwa na cassette aliinunua 1992 so me nimezaliwa nimeikuta. So alikuwa ananunua kanda za wanamuziki mbalimbali hasa kwaya za kikatoliki, kilutherani, na nyimbo za dansi kama za kina mzee rojer, mwinjuma muumini nk katapila, na za kusifia juhudi za Nyerere.
So kila nikisikia hata leo baadhi ya hizo nyimbo basi hunikumbusha Family memories kibao.
Kuna kanda fulani hivi imeitwa na mateeneger wa south africa alinunua mzee dah ilikuwa kwa kizulu mixer kiingereza basi nilikuwa naipenda mpka leo. Niihangaika mtandaoni nipate nyimbo zake in digital format nikafanikiwa kupata chache lkn hunipeleka so far kimawazo.
Kwa upande wangu, nilikuwa mkutubi nilipokuwa shule ya msingi na wanafunzi wenzangu wakija kuazima vitabu maktaba nilikuwa siandiki majina yao, lakini nilijua nani kaazima kitabu gani na anatakiwa arudishe lini. Pia darasani mwalimu akifundisha nilikuwa nasoma biblia chini ya dawati (maana yalikuwa yale yenye nafasi ya kuweka madaftari au vitabu chini) au rozari, lakini tukifanya mtihani nilikuwa nakuwa wa pili. Kwa uzoefu wangu, kadiri muda unavyoenda ndivyo ninavyokumbuka vizuri mambo ya zamani na kwa kawaida nikifahamu jambo huwa nakuwa na kumbukumbu nzuri almost ku'reproduce' kilichoandikwa. Enzi hizo kulikuwa na kitabu cha Kiingereza chenye simulizi la 'Mkisi crosses lake Nyasa' hii hadithi niliijua yote 'verbatim' pamoja na ile ya Ziwa Victoria 'Omusoke twahwelela'. Ni ajabu sana!Wanabodi.
Kumbukumbu ni moja ya vitu ambavyo binadamu anaishi navyo milele hadi kufa navyo!. Ubongo ni kama computer hard disc, na uwezo wa kuhifadhi ni kama computer memory, kadri unavyohifadhi memory nyingi, ndivyo unavyoongeza space ya hard disc yako, wengine ni KB, wengine, MB, wengine ni GB na hata TB, jee wewe unaweza kujijua uko kundi gani?.
Naomba ujikumbushe the earliest thing kilichokutokea udogoni, mpaka leo unakikumbuka, ulipokuja kuhadithiwa ulikuwa na umri gani wakati huo unaweza kushangaa!.
Mimi wakati nikiwa mdogo kabisa, nikiwa naishi Arusha, mbio za mwenge zilipita nje kwetu!. By that time nilikuwa urefu wa buti ya jeshi, kwa sababu hapo barabarani nilipo simama, buti ilikuwa ndio usawa wa macho yangu!. Tukaja kuhama Arusha na kuhamia Tanga, nikiwa mkubwa naonyeshwa picha zangu tukiwa Arusha, naambia tulihama nikiwa 3 years, na wakati tunahama, mwenge ulikuwa haujapita, hivyo nilipoziona mbio za mwenge I was two years na mpaka leo nakumbuka!.
Nilianza Nursery shule ya St. Peters Kindergarten ya Tanga nikiwa 4 years. Mpaka leo, more than 30 years back, nakumbuka baadhi ya majina ya wanafunzi wa darasani kwangu na miongoni mwao ni Alex Shaba, David Naburi, Allen Semu, Irene Minja, Jane Mutayoba, Robert Kilala na Ana Kilala!. Jee wewe unaweza kuwakumbuka baadhi ya wanafunzi mliosoma nao vidudu?.
Nikiwa nursery ndio mara yangu ya kwanza kuvaa shati jeupe, suruali nyeusi, soksi nyeupe na viatu vyeusi!, kabla ya hapo ni raba na ndala tuu. Nilinunuliwa nguo hizi ili kucheza mchezo wa kuigiza mimi nikiwa ndio mfalme!.
Kitu cha ajabu, nimemaliza Chuo juzi juzi, kuna watu nakutana nao mtaani tunasalimiana vizuri, namuomba anikumbushe, ananiambia tulikuwa class moja Chuo!. Yaani wale wazamani ninawakumbuka, hawa wa sasa siwakumbuki!. Nilipojiuliza nikakuta hard dis itakuwa imejaa hivyo it can take no more!. Huyo Robert Kilala na Jene Kilala, baba yao alikuwa ana pikipiki, anawaleta wote wawili wamepakizwa mbele kwenye pikipiki, hivyo nikawa naishangalia sana pikipiki nikitamani na mimi kupandishwa!. Watoto wengine wakiletwa na magari, mimi kwetu hatukuwa na gari, napelekwa shule na dada akiitwa Marrita (Martha), sometimes nikifika shule, siingii kwanza darasani ili kuona pikipiki, kumbe siku ingine wanakuwa wamewahi zaidi na mimi nikiwakuta, I feel sorry, I've missed the fun!. Baadae nilipokuja kuwa mtu mzima I was mad about bikes!.
Jee wewe unakumbuka nini enzi za udogoni kabisa?!.
Remembering those good old days, makes you feel good!.
Feel Good!.
Pasco
Kuna album fulani inaitwa VUYELWA in volumes kadhaa ila aliyonunua mzee ilikuwa volume ya 4Mkuu nazitafuta sana hizo nyimbo za hao Wasouth,kama utaweza naomba uorodheshe majina ya hizo nyimbo hapa nizitafute
Sent using Jamii Forums mobile app
we jamaa muongo sanaNakumbuka nikiwa natambaa nilikuwa nimevaa suriari nyekundu nilikoswakoswa kuuangamizwa na n'gombe huko kijijini kwetu mrito
Wanabodi.