Test kwangu jamani

Test kwangu jamani

jamani nimefika moro msamvu 15:42 hata hivyo tulipata pancha tairi ya nyuma msolwa tulitumia kama dk 8 hivi kubadili kwa mana hyo dk42-8 ni kama tulittmia saa moja na dk 34 hapo ni pamoja na usumbufu wa jam kuanzia njia panda chuo kikuu mpaka msamvu moro.
Hatuwezi kwenda dom mpaka kesho mana break zinafeli na na mguu wa nyuma unagonga mbaya.
Kuna picha jamaa alichukua kisahani kikisoma 180km/h nashindwa jinsi ya kuweka.

Inawezekana kabisa, hongera kwa kuweza kuivunja hiyo Rekodi. Binafsi nikiwa na Subaru Forester niliwahi kutumia Saa moja na Nusu kutoka Mbezi Stendi to Moro, only kwa kuwa nilikuwa kwenye shinikizo la kuwahi... Ila sishauri watu wajaribu hii, unaitaji kuwa mzoefu sana barabarani vinginevyo hilo jaribio siyo salama sana kwa maisha hasa ukizingatia na hizi Barabara zetu zisizotabirika (Hususan Mlandizi-Chalinze)..

Kila la heri na Safari ya Dom.
 
Mbona wako kimya hawa jamaa naomba taarifa jamani,hakuna ajali yoyote iliyohusisha BMW kati ya Morogoro na Dodoma..??
 
Ingawaje hii ipo CC ila Dar - Moro inawezekana kabisa kwenda kwa huo muda...mara ya mwisho nadhani nilitumia saa 1 na dk kama 15 au 20 hivi....Escudo V6 na siku hiyo ilikuwa ni lazima kuwahi Dar kwa kuwa kulikiwa na mzigo wa kuusambaza.
Ila ni hatari mno maana pasipo kuwa makini unapata ajali kirahisi.
 
Mimi nilishatokaga Morgoro umbali wa km 254 to Dom kwa wastani wa masaa 2 dakika 14 tu so jama lazima kwa masaa matatu anaweza, sema dar-moro ndio challenge kwa sababu ya traffic kubwa na bara bara mbaya hasa chalinze mlandizi
 
aisee basi kwa mimi mtaalam ntatumia muda chini ya hapo
 
Ingawaje hii ipo CC ila Dar - Moro inawezekana kabisa kwenda kwa huo muda...mara ya mwisho nadhani nilitumia saa 1 na dk kama 15 au 20 hivi....Escudo V6 na siku hiyo ilikuwa ni lazima kuwahi Dar kwa kuwa kulikiwa na mzigo wa kuusambaza.
Ila ni hatari mno maana pasipo kuwa makini unapata ajali kirahisi.

mkuu ni kweli yani mi bila jam nadhani naweza kwenda kwa saa moja mana ile juzi kutoka ubungo mpaka mbezi kipande cha dk5 nili2mia dk karibu 35
 
Inawezekana kabisa, hongera kwa kuweza kuivunja hiyo Rekodi. Binafsi nikiwa na Subaru Forester niliwahi kutumia Saa moja na Nusu kutoka Mbezi Stendi to Moro, only kwa kuwa nilikuwa kwenye shinikizo la kuwahi... Ila sishauri watu wajaribu hii, unaitaji kuwa mzoefu sana barabarani vinginevyo hilo jaribio siyo salama sana kwa maisha hasa ukizingatia na hizi Barabara zetu zisizotabirika (Hususan Mlandizi-Chalinze)..

Kila la heri na Safari ya Dom.

asante mkuu dom ni leo fuatilia updates hapahapa
 
Yup kaka Chalinze - Mlandizi barabara ina mawimbi sana ukifanya masikhara unaweza jikuta kwenye mashamba ya mpunga huko pembezoni...sehemu pekee ya kufanya purukushani ni Chalinze - Moro.

Mimi nilishatokaga Morgoro umbali wa km 254 to Dom kwa wastani wa masaa 2 dakika 14 tu so jama lazima kwa masaa matatu anaweza, sema dar-moro ndio challenge kwa sababu ya traffic kubwa na bara bara mbaya hasa chalinze mlandizi
 
mkuu ni kweli yani mi bila jam nadhani naweza kwenda kwa saa moja mana ile juzi kutoka ubungo mpaka mbezi kipande cha dk5 nili2mia dk karibu 35

Hahaha sasa hapa unataka kunichota kaka...
 
Yup kaka Chalinze - Mlandizi barabara ina mawimbi sana ukifanya masikhara unaweza jikuta kwenye mashamba ya mpunga huko pembezoni...sehemu pekee ya kufanya purukushani ni Chalinze - Moro.

Chalinze-Moro-Iringa, every Driver's favourite route... Ile road iko kwa viwango vizuri sana Arifu!!
 
hahaha sio kukuchota kaka assume unatoka ubungo mpaka moro ukiwa pekeako njia nzima!

Haya ngoja tuwe realistic

Dar - Chalinze ni kilometa 109
Chalinze - Moro ni kilometa 84
Jumla ni kilometa 193...ili utumie saa 1 inabidi uende angalau mwendokasi wa 200km/hr...hapo tuna assume unaendesha peke yako kama kwenye mbio za magari vile.
Sasa ni kweli unaweza kwenda kwa huo mwendokasi provided kuna vijiji, matuta, njia panda, kona kali n.k?
 
Vitu vya by night ndio vyenyewe,dar moro ni sekunde tu,upepo mzuri,no traffic jam no bumps
 
mkuu unatuombea ajali au? Gari ilikua garage mambo ni leo kaka fuatilia updates

Siwaombei na siwezi kuwaombea ajali ,ila ni katika utu na kujali maana niliona kimya na aliyekuwa pembeni yako alithibitisha kwa maandishi yake na kuelezea uoga aliokuwa nao,ila kama safari inaendelea nashukuru na Mungu awatangulie.Kikubwa tu ni kuwa sehemu za hatari umeshazipita kati ya Moro na Dom hakuna hatari sana kama Dar-Moro..
 
Back
Top Bottom