Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,308
- 111,474
Nimeitika Amigo....Comrade nakusalimia
Naona hapa wenye magari wanataka wang'oe totoz wetu humu jf....tehteehh
Nimeitika Amigo....Comrade nakusalimia
[emoji23] watu mnakumbukumbu kama shetaniiVolkswagen Golf gti,hongera kwa kununua kibaby walker. Halafu kuna mahali ulimponda mtu kwa kuendesha mark x ukasema ni ten year old car nkajua una velar ya 2017,hii yenyewe tu pia ni ten years old
Mnajua kufukunyuaHawezi jibu sababu nimemshika pabaya