Test Drive

Test Drive

Mwanafunzi wa mwalimu Ndosi, hongera kwa kuvuta mkoko. Umenikumbusha mwaka 2015 nilianza kufukuzana na mkaka mmoja hata simjui. Alinichomekea ghafla pale mataa ya red cross/Serena baada ya taa kuturuhusu kuelekea salender bridge. Nilichukia maana mie ni mbishi, nakumbuka ilikuwa siku ya jumapili nilifukuzana nae nikamuacha mbali mataa ya palm beach ile anataka kunikaribia mataa ya kituo cha polisi kona ya kwenda Tambaza ndo nilimuachia vumbi. Nafika mataa ya St. Peters namuona kwa mbalii anatweta kuovateki anifikie mie yuleee hadi nafika tegeta holaaaa sijui hata kama plate number yangu aliisoma.

Ningekuwa Dar ningekuomba tufanye mashindano yetu wawili kuanzia saa tano usiku kuanzia mataa ya redcross/Serena hadi sea cliff ambako hakuna matuta. Au kuanzia bibi tite road hapohapo mbele ya mataa ya redcross na Serena hadi airport nione unavobadili gear. Halafu mie nasukuma manual. ... nainjoi sana ile kubadili gear Hahahahahhaaa Kasie Matata mie.
 
Volkswagen Golf gti,hongera kwa kununua kibaby walker. Halafu kuna mahali ulimponda mtu kwa kuendesha mark x ukasema ni ten year old car nkajua una velar ya 2017,hii yenyewe tu pia ni ten years old
Nasubiri uje kunijibu hapa
 
Mwanafunzi wa mwalimu Ndosi, hongera kwa kuvuta mkoko. Umenikumbusha mwaka 2015 nilianza kufukuzana na mkaka mmoja hata simjui. Alinichomekea ghafla pale mataa ya red cross/Serena baada ya taa kuturuhusu kuelekea salender bridge. Nilichukia maana mie ni mbishi, nakumbuka ilikuwa siku ya jumapili nilifukuzana nae nikamuacha mbali mataa ya palm beach ile anataka kunikaribia mataa ya kituo cha polisi kona ya kwenda Tambaza ndo nilimuachia vumbi. Nafika mataa ya St. Peters namuona kwa mbalii anatweta kuovateki anifikie mie yuleee hadi nafika tegeta holaaaa sijui hata kama plate number yangu aliisoma.

Ningekuwa Dar ningekuomba tufanye mashindano yetu wawili kuanzia saa tano usiku kuanzia mataa ya redcross/Serena hadi sea cliff ambako hakuna matuta. Au kuanzia bibi tite road hapohapo mbele ya mataa ya redcross na Serena hadi airport nione unavobadili gear. Halafu mie nasukuma manual. ... nainjoi sana ile kubadili gear Hahahahahhaaa Kasie Matata mie.
Sijakuelewa vzuri, yaani yeye akuchomekee harafu yeye ndo akufukuzie na asikupate!!?
 
Hahahahahaa ni kweli hujaelewa au unataka kuelewa unachokitaka wewe??!!

Uzi niliouweka kipindi kile nikiwa na kitambulisho cha Kasinde ulisomeka Catch Me If You Can.

Kuna waliouliza tukufukuzie chumbani barabarani kitandani au wapi.... hapo nilikuwa nimeelezea tukio zima kinaga ubaga.

Acha uchokozi banaa.
 
Ndio sijakuelewa kwa sababu kama yeye ndo alikuchomekea that means yeye ndo alikuwa na kosa hivyo wewe ndo ulipaswa umfukuze na sio yy akufukuze ww
 
Daah yaani weewee. ..... okee wacha nielezee tena.

Ni hivii..... baada ya huyo jamaa kunichomekea nikatafuta upenyo nami nikamchomekea akashika breki za ghafla nae akawa kachukia. Akawa anatafuta nafasi naye anichomekee sasa hapo mie nikawa natumia side mirror kuhakikisha hanifikii. Nilikuwa nabadili gear naachia clutch na kukanyaga accelerator hakunifikia wala hakunipata. ......

Umeelewa sasa kwamba kwanini yeye alinifukuza mie japo yeye ndo alianza kunichomekea? Gari yake haikuwa na speed pamoja na kuonekana anajaribu kwenda speed. Uzuri wake ilikuwa siku ya jumapili na ilikuwa saa kumi jioni, barabarani hapa kuwa na magari mengi.
 
ok hapo nimekusoma. ila hayo mambo ya kukimbizana sio mazuri. Labda sbb ilikuwa j2. Kuna siku niliwakimbia trafk pale external, kidogo nibutuane na loli. Uzuri mwenye loli alijua namkimbia trafk so akajua namna ya kunihandle.
 
Zilikuwa gari gani kasie, mana hapa unajisifu kumbe ulikuwa na golf mwenzako ana vitz.
Halafu unajisifia
 
Hiyo ni case tofauti na ni hatari askari hao wakiamua kuchukua bodaboda kukufukuza. Mie huwa sikimbii kama ni polisi hata kama watanisumbua au kunionea, bora issue au soo liishe kuliko niliahirishe lije kuibuka siku nyingine.

Mie barabarani mtu akinichezea rafu halafu akute ndo nimetoka kulipuliza. ..... aahahahahaaa lazima nimfurahishe maana gari yangu naiamini.

Sitamgonga wala sitamsababishia ajali na mie sitohatarisha maisha yangu.... ila ntamfanyia kiburi na jeuri ambayo atagundua kuwa nimemfanyia kusudi.

Naweza tafuta upenyo halafu nikawa mbele yake, kisha nasimama umbali ambao nakuwa karibu yake hawezi niovateki ghafla hadi arudi nyuma nazubaa hapo kama dakika 3 hivi, akipiga honi nakaa kimya, akianza kuhaha kuniovateki na kutaka kurudi nyuma apate pembeni hapo huyooooo naondoa gari fastaa na hata anifukuzaje hanipati ng'oo.

Ila nafanya hivo kama barabara tuliopo ni nyeupe kama kuna foleni nampuuzia tuu anayenichezea rafu mradi tuu asinichune gari yangu.
 
Zilikuwa gari gani kasie, mana hapa unajisifu kumbe ulikuwa na golf mwenzako ana vitz.
Halafu unajisifia

Hahahahaaa haikuwa hivyo.

Yeye alikuwa anaendesha saloon cars sikumbuki aina gani hadi nirudi kwenye ule uzi.... "Catch Me If You Can"

Mie nilikuwa naendesha Grand....... silitaji ni grand nini maana wengine ni hodari wa kudotidoti.

Langu lilikuwa Grand ......With six sylinders na ni manual. Ukiliwasha engine inaunguruma mithili ya engine ya V8.
 
Mkuu kama unaingia mkoani naomba lifti uniache moro hapo
 
Hahahahaaa haikuwa hivyo.

Yeye alikuwa anaendesha saloon cars sikumbuki aina gani hadi nirudi kwenye ule uzi.... "Catch Me If You Can"

Mie nilikuwa naendesha Grand....... silitaji ni grand nini maana wengine ni hodari wa kudotidoti.

Langu lilikuwa Grand ......With six sylinders na ni manual. Ukiliwasha engine inaunguruma mithili ya engine ya V8.
Jeep grand cherokee
 
Back
Top Bottom