Tennis 2012

hahaha, that was 31 torturous rally...naona DJOK taabani....
hata racquet imekuwa mzigo....
 
...was supporting Djok baada ya Nadal kumtesa sana Federer, lakini baada ya nadal kupotea kipindi kirefu sababu ya majeruhi,
we need sumone to challenge Djok again...

yes hapo nakubaliana na wewe let him(nadal) win . Australina open is for him to loose
 
....hapa sasa bingwa atapatikana aliyebakiza nguvu za aces tu...
Djok taabani lakini mnh!
 
Djokovic amechoka maana mechi dhidi ya Murray ilikuwa 5 hrs na leo 5 hrs tena {10 hrs ndani ya siku 3} ila anajitahidi akibreak hii game ataweza kuwin Australia Open
 
Djokovic amechoka maana mechi dhidi ya Murray ilikuwa 5 hrs na leo 5 hrs tena {10 hrs ndani ya siku 3} ila anajitahidi akibreak hii game ataweza kuwin Australia Open

...hahahaha,....Gladiators hawa, they can cope with any form bana...let them entertain us,
Nadal a set away from victory....pheewww 5hrs33mins gone!!!
 
Djokovic amechoka maana mechi dhidi ya Murray ilikuwa 5 hrs na leo 5 hrs tena {10 hrs ndani ya siku 3} ila anajitahidi akibreak hii game ataweza kuwin Australia Open

Sasa hvi djokovic hawezi kukubali kwenda rally zaidi ya tano atakuwa anatafuta gap ya kuhit winners tu. kashachoka sana hizo winners zitamsaidia au nio zitampa ushindi Nadal
 
...Djok is a true champ,...aces zinamuokoa, change of tactics!
5/5 ...5th and final set....
 
Nadal lost the mind battle again

...angalia body language pia, DJOK alikuwa kwenye bad patch few mins ago, sasa he's back to himself...
psychological inaweza kuwa inamu affect NADAL...
 
mbu said:
...Djok is a true champ,...aces zinamuokoa, change of tactics!
5/5 ...5th and final set....
mhhhh huyu djokovic msanii yaani kaweza ku break
Coookie said:
lol Djokovic ana serve for the Australian Open

Djoko alivyoshindwa kuachukua ushindi kwa set ya Nne nilijua ushii ni wa Nadal tena kirahisi
 
...aaarrgggggghhhhh!!!....for me it's all over....DJOK to serve & win this one!
 
mhhhh huyu djokovic msanii yaani kaweza ku break

umeona ee? dahhh...nilidhani angezimia kwa uchovu, kumbe usanii tu...hapa sasa NADAL ahesabu maumivu tu,
ni aces kwa kwenda mbele...
 
...hizi volleys nazo noma...lol!...clear chance mtu anapoteza...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom