Tennis 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tennis 2012

Discussion in 'Sports' started by Mtazamaji, Jan 17, 2012.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Haya kwa wale wapenda tennis.
  Msimu wa 2011 kijana djokoviv aliwapelekesha kiina Nadal na Federer. Federer Umri unaonekana umekwenda lakini bado yumo yumo

  Msimu ndio Umeanza kwa AUSTRALIAN OPEN.  [​IMG] [​IMG][​IMG][​IMG]
  Nadal na federer wameanza vizuri kwa wa kushinda straight set


  Kwa wanawake sijui kama Kia Williams wataweza kushinda viwaz vya wachezaji wapya kama mchina Li-na  Tuendelee
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Serena kaanza vyema lakini majeraha ymekuwa yakimsmbua sana. je atawza kufika final?
  [​IMG]


  Kwa wanaume Kuna mfarasana Tsonga na dologopolov binafsi napenda uchezaji wao na madoido wanayoweka kwenye game.

  Nadala na Federer wako kwenye game kesho
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Leo ni Nusu finali wa wababe wawili kwenye ilwemngu tennis. Roger Federer vs Rafael Nadal
   
 5. senator

  senator JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Game ipo live kweli naipata kwa net naona hii set ya tatu itaamua nani anakwenda Final
  So far Federer 7-6 (7-5) 2-6 3-3 *Nadal
   
 6. senator

  senator JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Mtanange mgumu kweli kama watakwenda kwenye set tano basi Mtu mzima Federer hatakuwa na chake Federer 7-6 (7-5) 2-6 5-5 *Nadal
   
 7. senator

  senator JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133

  Federer 7-6 (7-5) 2-6 6-7 (5-7) *Nadal

  High-pitch screams from the fans as if they're watching some horror show, but this is no horror show, this is tennis at its best, as comes out on top after an entertaining rally to earn a mini-break. Nadal zooms 5-1 ahead after a thunderous backhand pass makes Federer look as if he has cement in his white trainers and the Federer forehand falters to gift Nadal five set points. He saves one, saves two, saves three... "I wonder," says Russell Fuller in the commentary box... saves four and, oh my word, Federer levels matters with a whizzing ace. Nadal musters a sixth set point and delightfully takes his chance.
   
 8. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,382
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Muda mfupi uliopita Rafael Nadal wa Spain amemfunga Roger Federer kwa set 6-7, 6-2, 7-6, 6-4 nakutinga fainali za Australia Open kwa 2012 na hivyo kukata mzizi wa fitina wa nani mkali kati ya wawili hao

  Roger Federer Kushoto na Rafael Nadal kulia Roger-Federer-v-Rafael-Na-007.jpg
   
 9. senator

  senator JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Hatimae mtu wangu fed anadondokea pua mbele ya washabiki lukuki wa Aussie open.Najua kama djoko atamsambaratisha huyu kipenzi cha waingereza basi Final ya j2 itakuwa haina utamu mana itakuwa ya upande mmoja.
  Naona fed zama zinaanza kwisha na kasi ya vijana inamuacha..sio dalili yakuweza kubeba Grand slam yoyote kwa mwaka huu
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Sikuimaliza game yote sasa tusbiri Djokovic na Andy
   
 11. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  I love Andy Murray...
   
 12. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Andy Murray is good but sidhani kama anawaweza Djokovic na Nadal. Anyway may be mwaka huu katika glands salam Nne kubwa atapata moja.

  Dakika si nyingi sijazo murrayanaingia wenye mchuano wa Nusu fainali na Djokovic. Unaweza kuiba hata muda wa ofisi kama uko bogo na kuicheki mechi mja kwa moja kwenye michezo1ja X 1ja Chagua sehemu imeanikwa tennis djokovic na Andy Murray . Then chagua link yeyote ya english. ( usichague zile zinazohitaji kujisajili kwanza zinapoteza muda)
   
 13. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Andy Murray is good but sihani kama anawaweza Djokovic na Nadal. Anyway may be mwaka huu katika glands salam Nne kubwa atapata moja.

  Dakika si nyingi sijazo murrayanaingia wenye mchuano wa Nusu fainali na Djokovic. Unaweza kuiba hata muda wa ofisi na kuicheki mechi mja kwa moja kwenye michezo1ja X 1ja Chagua sehemu imeanikwa tennis djokovic na Andy Murray . Then chagua link yeyote ya english. ( usichague zile zinazohitaji kujisajili kwanza zinapoteza muda)
   
 14. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  thanx kaka.
  Nitakuwa online muda mfupi ujao. Fo sho nitacheki.
  Kick-off ni saa ngapi?
   
 15. Cookie

  Cookie Content Quality Controller Staff Member

  #15
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 1,924
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Novak Djokovic 6 3 6 6 7

  Andy Murray 3 6 7 1 5

  Djokovic kashinda set 3 kwa 2 za Murray sasa kucheza Final na Nadal
   
 16. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2012
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  It'll be between no 1 Novak Djokovic against no 2 Rafael Nadal.
  Nadal eliminated no 3 Roger Federer in 4 sets, whereas Djokovic sent no 4 Andy Murray packing in 5 sets.
   
 17. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #17
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Andy Murray alikuwa na chance nyingi zadii za kubreak lakini hakuzichukua. Lakini naona wataalama wanamsifia kuwa kaanza kuwa Agreesive zaidi na kujaribu risk ya winners winnner zaidi

  Lakini Naona Djokovic hayuko fresh sana mwaka huu 2012 . Nadhani Kama Nadal atakuwa fit ataliiza kisasi this time
   
 18. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #18
  Jan 27, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  @ seneator una bet kwa nani kati ya Djoko na Nadal ?
   
 19. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #19
  Jan 28, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kwa wadada Leo ndio fainali kati ya Azarenka na sharapova . Hawa wansfikia kwa kupiga kelele kwa sauti kubwa wakiwa wanacheza. Sijui itakuwaje.

  [​IMG] [​IMG]
   
 20. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #20
  Jan 28, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Victoria Azarenka ameshinda Australian open kwa wanawake na sasa yeye Ndio Word No 1.

  Kamwabga Sharabopa wa 6-3 6-0 . ni Kipigo kikubwa sana. set ya pili sharapova kshndwa upata set hata kwa serve zake.
   
Loading...