Tengeneza tzs 50,000 kila siku

Kwaiyo mkuu pale kwenye kuchagua offer then unatakiwa ujiunge sasa, inabidi u fake jina sio?. Mana ukiandika lakiume si kazi buree?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kujiunga na mtandao jiunge na jina lako mana ndo jina litalotumika kulipwa....huko kwenye WhatsApp na kwengine utakotafuta watu wa Ku sign up hata ukiweka jina la mwajuma picha ya mobeto hakunaga shida
 
Hiyo ni dalili ya uvivu, vijana tafuteni shughuli za kufanya,mf. Badala ya kupoteza muda town, rudi kijjn tafuta bonde lima busta baada ya mwaka uliyemwacha mjini hatokuzoea atakuita mzee boss

Sent using Jamii Forums mobile app
Mark zuckeberg leo hii ni billionea wa nne duniani na hajawahi kufanya kazi yoyote ya kumtoa jasho

Ujumbe wangu kwako!!!

Dont work hard

Work smart!!!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kurupushani za kwenda dar kufanya interview ya posta nafasi ya Muhasibu nmerejea tena kutoa nondo, Kuna watu walishangaa sana mie C.P.A (T) machozi ya simba niombe kazi wakati hadi wao wanajua ninapiga mpunga safi tu adsense, affiliate, tee spring, nk. Well nachoweza kusema i love my profession ya kuwa muhasibu hata kama ninaingiza pesa online lakini haimaanishi profession nliosomea ndo nmeipiga ngwala...Let me cut the bullshit niingie straight kwenye pindi mana najua mtaani hakueleweki.

Prviously nmeshatoa nondo kibao tu hapa kuhusu kupiga pesa online but kuna njia ambazo ilibidi uwe mtaalam wa pc ama mzoefu so kuna wengi niwaacha thats wht naleta njia nyepesi kabisa ya kulaza walau 50,000 daily japo watakulipa baada ya mwezi ama kwa bahati ndani ya wiki.

Njia yenyewe ni kumfanya mtu wa us, canada, uk, n.k ajiunge na mtandao wa ku date. Pesa nje nje kulaleki mtu moja akijiunga kuitia link yako special utayompa waweza lamba 20,000 kwa kichwa.

1.Tafuta dating offers zinazolipa fresh then jiunge, www.offervault.com
2.Hakikisha offer unayochukua iwe rahisi ku sign up kwa watu utaowafanya wa sign up ili ulipwe. Ingia advanced search weka category iwe dating , nchi iwe marekani, tafuta offer zina zorange 5$ hadi 10 hivi kwenye matokeo hangaika na zile za "lead"
3.Tengeneza landing page nzuri inayoendana na offer (zama youtube ule pindi)

JINSI YA KUWAKAMATA HAWA WAZUNGU (TRAFFIC)
Asikudanganye mtu kupata free traffic iwe blog, youtube ama shughui yoyote online ni shughuli pevu mana inabidi umshike akili mtu afanye kile unachotaka ili upate tonge. Well kwa sababu nataka tuendelee sote ntawapa kanjia kazuri tu.

1. Itabidi kwanza upate namba ya nchi ambayo unataka uwafanye watu wa sign up mtandao wa dating, Kwa buku 5 tu waweza kupata namba ya us, uk, austraia, belgium,canada,n.k download app ya dingtone then nunua namba.
2 Download whatsapp weka profile picture ya mtoto mkali ikipendeza zaidi awe mungu...ingia insta wapo wengi ila usimweke ihanna;).
3. Ingia Twoo.com (ni mtadao kama badoo) then jiunge.
4.Location weka sehemu ambayo offer yako inalenga
5.haya sasa anza kulike vidume vione kweli mtoto mkali wa kwenye oicha kawazimia
View attachment 846987
6.wakija inbobo pga nao stori kidogo then wape namba yako ile ya WhatsApp kwa sababu huo mtandao wa twoo.com wakiona unawashawishi watu wajiunge kwengune utafngiwa.
7. Wakija whatsapp watumie linki ya landing page waambie wakihitaji kuchat sana na wewe wajiunge mtandao wa offer uliyopewa ama wape saundi wakitaka kuona pcha zako kali zaidi wajiunge mtandao wa kudate kuitia link yako.
8 waki sign u umeula mwanangu
View attachment 846985
im interested je malipo hufanyika kwa njia gani? Hujafafanua kuhusu hili mkuu na je inaruhusiwha kujiunga na offer zaidi ya moja? na pia registration inafanyika kwenye paysale.com au kwenye website ya offer husika?
 
im interested je malipo hufanyika kwa njia gani? Hujafafanua kuhusu hili mkuu na je inaruhusiwha kujiunga na offer zaidi ya moja? na pia registration inafanyika kwenye paysale.com au kwenye website ya offer husika?
Kwa malipo nashauri uwe na kadi ya payoneer, waweza kujiunga na offer zaidi ya moja
Kwahyo huu ni kautapeli flani hivi, VP ikija kugundulika umewadanganya watu wewe ni ke, kumbe me, au utakua tayari ushapata pesa hivo you don't care? Duuh
Kwa wenzetu Time is Money, huo mda aanze kukufatilia hawana, na ni kawaida sana hii michezo huko ulaya
Mkuu vipi intavyuu iliishia wapi?
Bado tunasubiri majibu mkuu, hivi vi laki 2 kwa siku bado haziwezi nizuia kufanya nachopenda (Uhasibu)
 
Kwa malipo nashauri uwe na kadi ya payoneer, waweza kujiunga na offer zaidi ya moja

Kwa wenzetu Time is Money, huo mda aanze kukufatilia hawana, na ni kawaida sana hii michezo huko ulaya

Bado tunasubiri majibu mkuu, hivi vi laki 2 kwa siku bado haziwezi nizuia kufanya nachopenda (Uhasibu)
Cpa imekamilika tial boss?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah bora nibaki pangu pakavu Tia mchuzi kuliko kujifanya mwanamke.
Ndio mwanzo wa kuwa shoga huo maana utaanza kuigiza then ukizoea unakuwa na tabia za kike kike!!
Kupenda vya ubwete mtaja kupakwa Mafuta dadeki
Useme tu ujaelewa somo utaeleweka ila kuacha 50K ni zaidi ya ushoga.
 
Back
Top Bottom