kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,497
- 5,197
Uko vizuri sana mkuu. Umejaribu kuweka kila kitu wazi kiasi kwamba mtu akifuata maelezo yako ananzaa kuona matunda leo leo. Pia usikate tamaa kushare njia mbalimbali mkuu maana wako wengi wata disi ila wachache wanafanyia kazi hata kama hawatakwambia asante. Kwa wenzetu njia kama hii huwezi pewa bure utalipa dola nyingi sana ila hapa watu wanaidharau.Baada ya kurupushani za kwenda dar kufanya interview ya posta nafasi ya Muhasibu nmerejea tena kutoa nondo, Kuna watu walishangaa sana mie C.P.A (T) machozi ya simba niombe kazi wakati hadi wao wanajua ninapiga mpunga safi tu adsense, affiliate, tee spring, nk. Well nachoweza kusema i love my profession ya kuwa muhasibu hata kama ninaingiza pesa online lakini haimaanishi profession nliosomea ndo nmeipiga ngwala...Let me cut the bullshit niingie straight kwenye pindi mana najua mtaani hakueleweki.
Prviously nmeshatoa nondo kibao tu hapa kuhusu kupiga pesa online but kuna njia ambazo ilibidi uwe mtaalam wa pc ama mzoefu so kuna wengi niwaacha thats wht naleta njia nyepesi kabisa ya kulaza walau 50,000 daily japo watakulipa baada ya mwezi ama kwa bahati ndani ya wiki.
Njia yenyewe ni kumfanya mtu wa us, canada, uk, n.k ajiunge na mtandao wa ku date. Pesa nje nje kulaleki mtu moja akijiunga kuitia link yako special utayompa waweza lamba 20,000 kwa kichwa.
1.Tafuta dating offers zinazolipa fresh then jiunge, www.offervault.com
2.Hakikisha offer unayochukua iwe rahisi ku sign up kwa watu utaowafanya wa sign up ili ulipwe. Ingia advanced search weka category iwe dating , nchi iwe marekani, tafuta offer zina zorange 5$ hadi 10 hivi kwenye matokeo hangaika na zile za "lead"
3.Tengeneza landing page nzuri inayoendana na offer (zama youtube ule pindi)
JINSI YA KUWAKAMATA HAWA WAZUNGU (TRAFFIC)
Asikudanganye mtu kupata free traffic iwe blog, youtube ama shughui yoyote online ni shughuli pevu mana inabidi umshike akili mtu afanye kile unachotaka ili upate tonge. Well kwa sababu nataka tuendelee sote ntawapa kanjia kazuri tu.
1. Itabidi kwanza upate namba ya nchi ambayo unataka uwafanye watu wa sign up mtandao wa dating, Kwa buku 5 tu waweza kupata namba ya us, uk, austraia, belgium,canada,n.k download app ya dingtone then nunua namba.
2 Download whatsapp weka profile picture ya mtoto mkali ikipendeza zaidi awe mungu...ingia insta wapo wengi ila usimweke ihanna😉.
3. Ingia Twoo.com (ni mtadao kama badoo) then jiunge.
4.Location weka sehemu ambayo offer yako inalenga
5.haya sasa anza kulike vidume vione kweli mtoto mkali wa kwenye oicha kawazimia
View attachment 846987
6.wakija inbobo pga nao stori kidogo then watumie linki ya landing page waambie wakihitaji kuchat sana na wewe wajiunge mtandao wa offer uliyopewa ama wape saundi wakitaka kuona pcha zako kali zaidi wajiunge mtandao wa kudate kuitia link yako.
7 waki sign u umeula mwanangu
View attachment 846985
Firstly wacha nikusahishe hatushindi pesa huku kama biko...TUNAZITAFUTA..Kuna njia nyingi za kutumiwa mpunga ila naipaga kupaumbele payoneerUkishashinda huo mtonyo wanakutumia kwa njia gn paypal/btc
Well code of ethics kwenye uhasibu inacomprise integrity, objectivity, proffesional dev't n due care, confidentiality na professional behaviour hata huku internet marketing tunazifata hizi though hatuwezi kumzuia mtu Ku perceive kwamba ni utapeli kumbe in reality ni agressive marketingHuo mzunguko wote na utapeli ndio njia rahisi ya kulaza 50k kwa siku?
Ethics na maadili ya CPA (T) yanasemaje kuhusu hili jambo?
Yeah unaweza simply kwa kutumia atmHv payooner unawez ku withdral hp tz...
Unaweza kabisa kama wakikutumia master card yao. Pia unaweza kutumia epayment nao wako vizuri.Hv payooner unawez ku withdral hp tz...
Kuna nn kilombero mkuu.Karibu kwetu kilombero uone tunatengenenza vp noti mpaka tukamiliki mijengo na mikoko before 25yrs
Sent using Jamii Forums mobile app
Well code of ethics kwenye uhasibu inacomprise integrity, objectivity, proffesional dev't n due care, confidentiality na professional behaviour hata huku internet marketing tunazifata hizi though hatuwezi kumzuia mtu Ku perceive kwamba ni utapeli kumbe in reality ni agressive marketing
Hapo umeongelea sehem ya pili ya post yangu, kuhusu hii kauli una maelezo gani mkuu?
"TENGENEZA ELFU 50 KILA SIKU, RAHISI KAMA KUNYWA MAJI"
Ni kweli huu mchakato wote ni rahisi kama ulivyouelezea hapo juu?
Marhabashkamoo muhasibu.....
Sana mkuuBaada ya kurupushani za kwenda dar kufanya interview ya posta nafasi ya Muhasibu nmerejea tena kutoa nondo, Kuna watu walishangaa sana mie C.P.A (T) machozi ya simba niombe kazi wakati hadi wao wanajua ninapiga mpunga safi tu adsense, affiliate, tee spring, nk. Well nachoweza kusema i love my profession ya kuwa muhasibu hata kama ninaingiza pesa online lakini haimaanishi profession nliosomea ndo nmeipiga ngwala...Let me cut the bullshit niingie straight kwenye pindi mana najua mtaani hakueleweki.
Prviously nmeshatoa nondo kibao tu hapa kuhusu kupiga pesa online but kuna njia ambazo ilibidi uwe mtaalam wa pc ama mzoefu so kuna wengi niwaacha thats wht naleta njia nyepesi kabisa ya kulaza walau 50,000 daily japo watakulipa baada ya mwezi ama kwa bahati ndani ya wiki.
Njia yenyewe ni kumfanya mtu wa us, canada, uk, n.k ajiunge na mtandao wa ku date. Pesa nje nje kulaleki mtu moja akijiunga kuitia link yako special utayompa waweza lamba 20,000 kwa kichwa.
1.Tafuta dating offers zinazolipa fresh then jiunge, www.offervault.com
2.Hakikisha offer unayochukua iwe rahisi ku sign up kwa watu utaowafanya wa sign up ili ulipwe. Ingia advanced search weka category iwe dating , nchi iwe marekani, tafuta offer zina zorange 5$ hadi 10 hivi kwenye matokeo hangaika na zile za "lead"
3.Tengeneza landing page nzuri inayoendana na offer (zama youtube ule pindi)
JINSI YA KUWAKAMATA HAWA WAZUNGU (TRAFFIC)
Asikudanganye mtu kupata free traffic iwe blog, youtube ama shughui yoyote online ni shughuli pevu mana inabidi umshike akili mtu afanye kile unachotaka ili upate tonge. Well kwa sababu nataka tuendelee sote ntawapa kanjia kazuri tu.
1. Itabidi kwanza upate namba ya nchi ambayo unataka uwafanye watu wa sign up mtandao wa dating, Kwa buku 5 tu waweza kupata namba ya us, uk, austraia, belgium,canada,n.k download app ya dingtone then nunua namba.
2 Download whatsapp weka profile picture ya mtoto mkali ikipendeza zaidi awe mungu...ingia insta wapo wengi ila usimweke ihanna😉.
3. Ingia Twoo.com (ni mtadao kama badoo) then jiunge.
4.Location weka sehemu ambayo offer yako inalenga
5.haya sasa anza kulike vidume vione kweli mtoto mkali wa kwenye oicha kawazimia
View attachment 846987
6.wakija inbobo pga nao stori kidogo then wape namba yako ile ya WhatsApp kwa sababu huo mtandao wa twoo.com wakiona unawashawishi watu wajiunge kwengune utafngiwa.
7. Wakija whatsapp watumie linki ya landing page waambie wakihitaji kuchat sana na wewe wajiunge mtandao wa offer uliyopewa ama wape saundi wakitaka kuona pcha zako kali zaidi wajiunge mtandao wa kudate kuitia link yako.
8 waki sign u umeula mwanangu
View attachment 846985