Tengeneza mtandao wa kifamilia/ukoo

Tengeneza mtandao wa kifamilia/ukoo

Poa kaka
Bado nipo huku huku hehehe
Nimekomaa na mafunzo ya meditation yanalipa kwakweli.
Vipi Mzima?
Mzima! safi saana endelea usiache! Kuna faida nyingi kuliko hasara
 
Kwetu ndugu ni sisi wa tumbo moja tu, mabwege wengine tulishavurugana nao tangu enzi......Africa hakuna undugu bali unafiki, uchawi, fitina, roho ya kwa nini na majungu
😀😀😀 eti mabwege ..hahahaha nimecheka sana....
 
Sehemu nyingi katika jamii zetu undugu umebaki ule wa kukutana katika shughuli za harusi na misiba tu, maana halisi ya undugu inatoweka siku hadi siku.........ni wakati mwafaka sasa kusahau yaliyopita na kuwa kitu kimoja ili kuepusha matabaka zaidi kwa kizazi kijacho.
Zipo familia hata kwenye shughuli hawakutani.
Kuna jirani yangu,ndugu yake amefiwa na mwanae hajaenda msibani,afta one week ndugu yake amefariki hajaenda msibani (na akamgombez mkewe kwa kuhudhuria misiba).
Ni mzee,mtu mzima sana.Nikamuuliza sababu za yeye kutoshiriki misiba akasema 'Hawakunambia officially'.
Kwa hiyo undugu kwa sasa sio wa shughuli tu,maana hata huko unaweza CHEKECHWA
 
...wakati flani kuna umuhimu wa kuishi kwa kucgungulia kwa baadhi ya familia/ukoo flani hii ni kutokana na mfumo walio nao.

But hapo kwenye kuunganisha watoto [emoji106]!.
Maana kama wazazi/ndugu hawatachukua hatua za kuwaunganisha watoto na kufahamiana tokea udogoni, itakuwa ni HATARI hapo baadaye watakapokuwa watu wazima kuja kutengeneza familia ya ndg wa ukoo mmoja.

Hii ni kama kuandika kuwa;
Unaanzishwa shule mpaka unahitimu na chuo kikuu huko huko unapata mchumba ambaye unakuja kuolewa naye, kumbe ni kakako mtoto wa baba mkubwa.

Na hii ya kumfahamiana kama ni ndg yako ni baada ya kuwa mmeshakula bata vya kutosha na nafsi zikapendezwa kama mkiishi wote furaha itaongezeka.

Ndipo siku ya utambulisho kwa wazazi ndg mshana jr unakwenda kwa wakwe na kuanza kuulizwa;
1.Wewe mzaliwa wa wapi?
2.Unaishi na unafanya kazi gani?
3. (Swali zito) Wazazi wako wanaishi wapi?
4...[emoji85]
Ilitokea hii kwa ndugu zangu.Bahat walikuwa na undugu wa mbali tu,mambo ha sijui mzee nani na biti flani.Walioana na maisha yanasonga
 
Kuna wakati unajitolea kwenye ukoo au familia ila ndo hivo shukrani ya punda unakula mshuzi,mfano hai sie ukoo wetu mababa zetu walikua na chuki hadi wakabadilisha majina ya ukoo,kwahiyo sahv uko mmoja ila majina ya ukoo tofauti,hawana ushirikiano kiasi kwamba hata sie wajukuu inatuwia ngumu kuwa pamoja sababu wakishajua huyu mtoto wa flani na walitibuana decades ago basi unaweza hata kufukuzwa.Chuki zao wamepandikiza hadi kwa watoto wao,sasa hapo unafanyeje?,japo tunajaribu ila bado,tunakutana kwenye misiba tu ndo utatambulishwa huyu mtoto wa flani huyu mjukuu wa flani,harusi ukifanya ni yako na rafiki zako,ndugj watakuja 30 kati ya 100.Sahv tumejiamulia tu kila mtu aishi apendavyo,ndugu vichomi.
Huo ukoo HATARI,walienda mahakamani kubadilisha?
 
Zipo familia hata kwenye shughuli hawakutani.
Kuna jirani yangu,ndugu yake amefiwa na mwanae hajaenda msibani,afta one week ndugu yake amefariki hajaenda msibani (na akamgombez mkewe kwa kuhudhuria misiba).
Ni mzee,mtu mzima sana.Nikamuuliza sababu za yeye kutoshiriki misiba akasema 'Hawakunambia officially'.
Kwa hiyo undugu kwa sasa sio wa shughuli tu,maana hata huko unaweza CHEKECHWA
Kuna tatizo kubwa limejificha hapo
 
Yaani mshana umeizungumzia familia yangu 100%,yaani sisi kwetu mtu anadai mpaka ela ile aliyomuuguzia mgonjwa wakati ni ana ela ndefu, kisa tu si mzazi wale (labda ni ba mdogo, mjomba, babu, bibi nk) , we acha acha. Sasa kwenye msiba mtu ana ela anatoa elfu 10, elfu 20, wakati ana ela ndefu saaaaana, maneno, kejeli na kebehi nyingi huku akiwachora kama mnauwezo wa kufanikisha shughuli yenu na hata akiongezea hela ili lengo litimie, hiyo ela mtailipa na atawadai tu . Yaani upendo kwenye familia zetu siku hizi hamna kabisa.
 
Mmh hii ya kudai hela kwenye ishu kama hizo mbona haijakaa vizuri Sana
 
mshana jr, Hiyo ipo Kuna msiba wa shangazi yetu ulikaa siku nne, hapo watu wameuuguza gharama zinafikia milioni 1, bahati mbaya mgonjwa kafa, sasa anatakuwa asafirishwe, sisi kidogo ziwa la bibi yetu hela hatuna basi, ila maziwa ya mabibi zetu wengine watoto zao ni wana ela ndeeefu tukachangia ikabakia laki tatu (bajeti 1.5 m),hapo msibani ukicheki nnje zimepaki V8, Prado, Vogue lkn mtu anakuja pale nae anatoa elfu 10 au 20 (kwenye shughuli zao tunajitoa kwa hali na mali japokuwa uwezo wetu mdogo), hiyo laki tatu ilibidi tukope. Sasa yote tisa kumi, bibi yetu, ba mdogo aliidaii ela yake aluyoitumia kumuuguza (wakati ana ela, ana Vogue mbili, prado na benzi), ilikuwa bado nusu tu washikane mashati na baba.
 
Wengine usiwalaumu pesa zao ni za masharti hawakuzipata hivi hivi
 
Back
Top Bottom