...wakati flani kuna umuhimu wa kuishi kwa kucgungulia kwa baadhi ya familia/ukoo flani hii ni kutokana na mfumo walio nao.
But hapo kwenye kuunganisha watoto [emoji106]!.
Maana kama wazazi/ndugu hawatachukua hatua za kuwaunganisha watoto na kufahamiana tokea udogoni, itakuwa ni
HATARI hapo baadaye watakapokuwa watu wazima kuja kutengeneza familia ya ndg wa ukoo mmoja.
Hii ni kama kuandika kuwa;
Unaanzishwa shule mpaka unahitimu na chuo kikuu huko huko unapata mchumba ambaye unakuja kuolewa naye, kumbe ni kakako mtoto wa baba mkubwa.
Na hii ya kumfahamiana kama ni ndg yako ni baada ya kuwa mmeshakula bata vya kutosha na nafsi zikapendezwa kama mkiishi wote furaha itaongezeka.
Ndipo siku ya utambulisho kwa wazazi ndg
mshana jr unakwenda kwa wakwe na kuanza kuulizwa;
1.Wewe mzaliwa wa wapi?
2.Unaishi na unafanya kazi gani?
3. (Swali zito) Wazazi wako wanaishi wapi?
4...[emoji85]