Tengeneza Mkono wa Mbele na Nyuma Gym Kwa Kufanya Hivi....

asante castr ndio hiyo stendi inasaidaje?
Mkuu hivi vinafanya ukiwa unashuka nafasi ya kushusha kifua iongezeke hivyo inajenga zaidi kifua kuliko atakayekua sehemu flat kabsa.

Ila kama utakua haushuki chini kama inavyotakiwa itakua ni kazi bure.
 
Mazoezi ya uzi uliopita, haswa haswa ya kujivuta hua yanatengeneza mkono ambapo pale mkono hua unalengwa kama secondary muscle, ndiyo maana baadhi ya watu wanaweza wakapunguza idadi ya seti katika kila zoezi la mkono.

Pia baadhi ya watu hua wanaweza kuingia gyma na kufanya zoezi la mkono tu.

Naandaa thread ya kutengeneza mkono wa nyuma (triceps).
mkuu vp hyo thread ya kutengeneza mikono nyuma mbona haipo
 
Ngoma ipo kwenye 21, nikiwa gym ikifika zamu ya 21 huwa nasema "sasa linakuja zoezi lenyewe".
Ukimaliza hili zoezi mkono unausikia hasa, kila kitu kinavuta kwenye mikono.
21 nuksi.
Hahahahaha halafu unakutana na mtu mtaani anakwambia "Wewe nini bwana mimi kuwa kama wewe wiki tu, nakufikia"
 
Hahahahaha halafu unakutana na mtu mtaani anakwambia "Wewe nini bwana mimi kuwa kama wewe wiki tu, nakufikia"
Mkuu Binadam yao maneno bana, hawanunui kusema, wao hujisemea tu kwa hiyo ni wa kuwaangalia tu.
Fanya uchunguzi kutoka sasa ukienda gym mkuu, mnaweza kuwa mnaofanya mazoezi mpo zaidi ya 20 ndani ya gym,lakini amini usiamini unaweza kukuta 1 au 2 wanaofanya zoezi la 21, na hata katika hao unaweza kuta mmojawapo zoezi halikamilishi anaishia kati.
21 huwa nikimaliza ndio "nasema sasa nimemaliza mazoezi". 21 Mikosi.
 
Pamoja mkuu.
mkuu hilo zoezi la barbel curl yaani 21 curl umesemema unafanya reps 10 mara tatu sasa ina maana unazihesabu zile 21 mpaka zifike kumi inakua moja na unaendelea hivyohivyo mpaka zifike tatu maana me sijaelewa hapo nielekeze naomba nashkuru
 
Hapana nilikosea, ni shida ya kukopi na kupaste kitu cha juu kuja chini, samahani.

Utafanya tu hizo reps za 21 curls mara 3.
 
Back
Top Bottom