The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,281
Its true umuri umekwenda sana hana jipya anatakiwe apumzike YUPO KWA SABABU YA PETE ZA MAJINI
Ushirikina una mwsho 2015 wachawi wote mtatupisha
![]()
Tendwa na pete ya majini
Ka ndondocha vile

Vipo vyama mbadala kibao ,nia na madhumuni ni kiondoa CCM na uhuni wake madarakani ,baadae tukimaliza kuiondoa tutagawana mbao na kuweka misingi mizuri tu ya kuendesha siasa zetu. Na vyama vilivyofutwa vitaruhusiwa kurudi ,Tendwa tutamfilisi kila kitu hata kama ana miliki baiskeli au paka.Kushinda azimio la Arusha.
Msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa amesema sasa amechoka kusikia mauaji kwenye mikutano ya kisiasa ya CDM na atatumia rungu lake kufutia usajili chama chochote kitakachoshindwa kutunza amani ya nchi.Tendwa amewaambia waandishi wa habari hatishiki na chama chochote kuwa na wabunge kwani sheria inamruhusu kufuta chama hata kama kina wabunge 100.
Katika hali ya kushangaza Tendwa ameshauri vyama visubiri nyajati za uchaguzi ndipo vifanye mikutano ya kisiasa.Hata hivyo amekiri sheria inaruhusu vyama kufanya mikutano na maandamano wakati wowote.
Source:Habari Radio Tumaini.

Daaa!!!! kweli Mungu si Athumani, wangekifuta hikichama cha wanyonge kisichokuwa na mtetezi
Its true umuri umekwenda sana hana jipya anatakiwe apumzike YUPO KWA SABABU YA PETE ZA MAJINI
Ushirikina una mwsho 2015 wachawi wote mtatupisha
![]()
Tendwa na pete ya majini
ni-kisukarimbona jasho linamtoka??? Hajiamini au?? Halafu!!! Huo ni mwanya au pengo
Si aseme tu analotaka kusema kuwa anataka kukifuta CDM? Kwa nini anaweka vitendawili asiongee analotaka kulisema hadharani, kwani anaposema vyama visubiri wakati wa uchaguzi ndipo vifanye mikutano anaongelea chama gani? Akumbuke kuwa hata TANU kabla ya uhuru wa Tanganyika ilipigwa ban, na mikutano ikaendelea, na nchi yetu tukaichukua. Sembuse hii serikali ya kisanii? Wanaoleta fujo na kuua anawajua mbona hawasemi hadharani, katumwa kututisha? Hizo ngonjera za ccm awapelekee huko huko. Mpaka kieleweke...