Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,485
- 3,224
Imenilazimu kutoa elimu kwa wanadamu wenzangu ili warudi kwenye mstari sababu naona shimoni tunaelekea.
Nimejaribu kufuatilia MAISHA ya wazee wetu na hata baadhi ya maandiko.
1: ukifuatilia maisha ya adamu katika maandiko ni kuwa kila "alimpojua" mke wake, mtoto alizaliwa.
2: wazee wa kale hawakulala chumba kimoja au kitanda kimoja. Walikuwa wakikutana kwa ajili ya kutafuta mtoto tu na sio vinginevyo.
Sababu ya mabadiliko;
2: upungufu wa nguvu za kiume na kike.
3: magonjwa ya ngono kwa ujumla wake.
4: ndoa kivunjika mapema sababu ya uzoefu wa ngono kwa wanandoa.
Mengine ongeza wewe JF member including
Madenge Kilewa pangalashaba

- Picha za ngono zimebadili akili za wanadamu kuona tendo hilo ni kwa ajili ya starehe.
- Uzazi wa mpango kwa njia za kigeni.
- Sinema na movies za kigeni.
- Utandawazi kwa ujumla wake hasa katika mwingiliano wa mila na desturi.
- Madhara yake;