Tendo la ndoa: Kwanini hufanyika sirini

Tendo la ndoa: Kwanini hufanyika sirini

Wanabodi,

Binafsi huwa sielewi kwanini ni busara kufanya tendo hilo sehemu ambapo hamtaonekana na mwingine yaani sirini!?

Je kuna ubaya gani kulifanya tendo hilo hadharani au sehemu ambapo kuna watu!?

Ni siri ipi hiyo ifichwayo!?

Karibuni!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Anza wewe kufanya hadharani wengine watafuata...kila jambo linamwanzilishi bwana...
 
Mkuu kama ulishawahi kufanya hadharani basi tuambie kuwa kwanini si busara kufanyia hadharani.

Tuambie kilichokukuta mkuu, ulipofanya tendo hilo hadharani!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kusoma?
Unajua kuelewa ulichokisoma?

Kama unajua basi rudia kusoma kisha ujue utajibu nini kama haujui kusoma na kuelewa basi kakae nyumbani usaidie dada zako kuosha vyombo
 
Wanabodi,

Binafsi huwa sielewi kwanini ni busara kufanya tendo hilo sehemu ambapo hamtaonekana na mwingine yaani sirini!?

Je kuna ubaya gani kulifanya tendo hilo hadharani au sehemu ambapo kuna watu!?

Ni siri ipi hiyo ifichwayo!?

Karibuni!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Viungo viko sehemu za siri, sasa vitafanyaje kazi sehemu za wazi? Nadhani utakuwa umeelewa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom