Tendo la ndoa: Kwanini hufanyika sirini

Tendo la ndoa: Kwanini hufanyika sirini

Maelezo uliyoyatoa bado hayajustify swali ulilouliza uliponiquote!

Sent using Jamii Forums mobile app
Vyovyote vile, lakini ikumbukwe kuwa, hoja kuu ni kwamba, kwanini tendo la ndoa, au kufanya mapenzi, kufanyike sirini au faragha!!

Kusema kwamba jibu la mdau Mangi, halija justfy swali lako, ni kama vile tuseme pia swali lako halikujustfy hoja ikiyotolewa!!

Mkuu -KANA- , kama unafahamu sababu mahususi ya kufanyia tendo lile faragha, tafadhali tuelimishe, wote tujue!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu tendo lenyewe linahusisha sehemu za siri. Kama mwili wsko hauna sehemu za siri, yaani una sehemu za wazi tu, bila shaka hutashindwa kufanya tendon hilo sehemu ya wazi huku watu wakikuangalia. So long as unatumia sehemu zinazoitwa za siri, tendon titabaki kufanywa katika usiri.
Sehemu zile kwanini unaziita za siri!?

Zina siri gani hiyo mkuu?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetamani kuwaona wazazi wako wakidinyana??? bangi mbichi haimuachi mtu salama
 
Wanabodi,

Binafsi huwa sielewi kwanini ni busara kufanya tendo hilo sehemu ambapo hamtaonekana na mwingine yaani sirini!?

Je kuna ubaya gani kulifanya tendo hilo hadharani au sehemu ambapo kuna watu!?

Ni siri ipi hiyo ifichwayo!?

Karibuni!!

Sent using Jamii Forums mobile app
ni maamuzi tu unaweza ukaanza wewe kufanya hadharani na ukapata wafuasi wengi jaribu tu mkuu tena uende na mchumba au wife uwanja wa taifa kwenye mechi ya Makambo na Medie kagere halafu fanya mambo yako au ukienda ibadani wkati wa ibada fanya mambo yko
 
Back
Top Bottom