Tendo la ndoa: Kwanini hufanyika sirini

Tendo la ndoa: Kwanini hufanyika sirini

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ana majibu yake anayoyataka. Ukimjibu anakuja na swali lingine. Woooiiii!!
Majibu gani hayo mkuu ambayo unahisi ninayo?![emoji848]

Infact sijui na ndio maana nimeulizwa!!
Kama wewe unalojibu, basi ni vema ukaliweka hapa ili tulione!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazoea hujenga tabia, tabia ndio msingi wa utamaduni. Utamaduni ni uwanja mpana wenye mila na desturi ndani yake!

Nadhani umepata kitu (kama una nia ya kupata kitu).

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa jibu hili liletalo mantiki, mkuu -KANA-

Kwa ujumla, unasema kwamba kufanya vile ni utamaduni ambayo kimsingi ni mazoea.

Asante kwa maoni yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna jamii ambayo tendo la ndoa linafanyika hadharani mkuu.

Na kusema ni cultural behaviour hakumaanishi kuna wengine wanafanya hadharani..

But, in pyschology ambayo viumbe wengi wamekuwa nayo hata viumbe ambao sio wanadamu...

Binadamu yoyote amekuwa akiwa na fikra za kuwa lile tendo linalohitaji faragha ya watu wawili tuu na hii ndio imekuwa siri ya hilo tendo kufanyika kwa siri.

Sent using Jamii Forums mobile app
You are JF Great Thinker!!

Kudos Man!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali zuri sana, sema wapuuzi watalipuuza.

Hili tendo lingekuwa lafanyika hadharani lingeonekana la kawaida sana.

Ila ndo tunapo elekea

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu!!

Binafsi sielewi mantiki ya usiri wa tendo lile!!

Kadhaa wameona swali hili ni la hovyo pasipo kutoa sababu za kwa nini ni la hovyo!!

Ila wengi wamejibu vizuri, kutokana na uelewa wao wa nini maana ya JF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Binafsi huwa sielewi kwanini ni busara kufanya tendo hilo sehemu ambapo hamtaonekana na mwingine yaani sirini!?

Je kuna ubaya gani kulifanya tendo hilo hadharani au sehemu ambapo kuna watu!?

Ni siri ipi hiyo ifichwayo!?

Karibuni!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona hili si la kujiuliza
Maana hata halihitaji majibu ya wengi

Kaka yako aweza kuwa na mke zaidi ya mmoja na akawahudumia wote ili hali wewe huna hata mmoja

Je, kwanini asingekupa umsaidie japo mmoja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom