Ibn Ayoub
JF-Expert Member
- Dec 20, 2015
- 2,237
- 3,081
Tena hwenda Hata hicko kinyeleo kikaziba na kisiweze kutoa hicko unaxhotaka kukinya Kwa khofu ya kuonwaJaribu kwanza kunya hadharani kama utaweza
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena hwenda Hata hicko kinyeleo kikaziba na kisiweze kutoa hicko unaxhotaka kukinya Kwa khofu ya kuonwaJaribu kwanza kunya hadharani kama utaweza
Maelezo uliyoyatoa bado hayajustify swali ulilouliza uliponiquote!Kwanini lifanywe faragha?
Nilivyo muelewa mleta mada ni kwamba, tendo hilo limekuwa likifanywa sirini au faraghani.
Sababu kubwa ni kwakua kwa muda mrefu tumekuwa tukiyaficha viungo vya uzazi km seh isiyopaswa kuwa wazi kama viungo vingine kama mdomo, mikono, vidole nk.
Naamini hivi viungo vingeachwa wazi kusingekuwa na usiri wa tendo la ndoa zaidi ya kuonekana ni jambo la kawaida kama wanyama wanavyoishi.
Kama ulisha wahi ona jamii za wahindi wekundu na jamii nyingine zinazo ishi msituni, unakuta maungk haya yameachwa wazi kuanzia watoto hadi wazee, na hakuna hata mmoja anae mshangaa mwezie. Wote wanaviona hivyo viungo km viungo vingine vya mwili tu.
Lakini tuendako huko, miaka 100 mbele, kuna nchi zitaweka sheria ya watu wanaotaka uhuru wa kukaa uchi na kutembea wanavyotaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini tendo la ndoa liwe la faragha?Maelezo uliyoyatoa bado hayajustify swali ulilouliza uliponiquote!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshajibu hili swali lako. Soma post namba 73.Kwanini tendo la ndoa liwe la faragha?
Kwanini lisinge kuwa ni jambo la kawaida kama vile kula chakula?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni maamuzi tuu kwani ukifanyia sokoni haingiiWanabodi,
Binafsi huwa sielewi kwanini ni busara kufanya tendo hilo sehemu ambapo hamtaonekana na mwingine yaani sirini!?
Je kuna ubaya gani kulifanya tendo hilo hadharani au sehemu ambapo kuna watu!?
Ni siri ipi hiyo ifichwayo!?
Karibuni!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, sababu kuu ya kufanyia faragha ni ipi?!Basi wewe fanya hadharani tukuone.
Sawa, lakini bado haujaitaja sababu ya kufanyia sirini mkuu!!Adamu alipokula tunda , Mungu alimuita na akafunika ile sehemu kwa majani kwani kabla ya hapo alitembea tu mtambo nje . Maadamu babu yetu alifunika nawe unapaswa ufanye kwa siri tena kwa kujificha . Tuwaache tu kuku wafanye hadharani kwa raha zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila wakati mtu unaweza kuoga kwa kujificha!!Kwnini TUNAOGA AU KUJISAIDIA kwa KUJIFICHA?unaogopa nn MKUU?au wewe UNAOGA HADHARANI?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio, nimewahi kujiuliza hivyo!Hivi umewahi kujiuliza kwa nini unavaa nguo?
Wewe ulijaribu ukashindwa mkuu?[emoji848]Jaribu kwanza kunya hadharani kama utaweza
Kwanini unanishauri hivyo!?Nakushauri ukafanye kwanza hadharani halafu ndo uje utuambie ulijisikiaje!
Sent using Jamii Forums mobile app
Siri ni kuwa huwezi kuvionyesha hadharani-kama unabisha acha kuvaa nguo??? Hio usifananishe na macho au sikio. Jiulize kwanini masikio unayaacha wazi 24/7/365?Viungo vile vina siri gani hiyo, inayosababisha tendo lile kuwa la siri!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana ya faragha ilishatolewa, kwamba ni sirini, au sehemu ya siri, rejea post #59Umeelewa hiyo comment uliyoiquote?
Kuna sehemu inasema tendo la ndoa ni tendo la faragha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu, Ibn Ayoub na mwenzako, kama mlishawahi kunya hadharani, tuambieni nini kilitokea!!Tena hwenda Hata hicko kinyeleo kikaziba na kisiweze kutoa hicko unaxhotaka kukinya Kwa khofu ya kuonwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu tendo lenyewe linahusisha sehemu za siri. Kama mwili wsko hauna sehemu za siri, yaani una sehemu za wazi tu, bila shaka hutashindwa kufanya tendon hilo sehemu ya wazi huku watu wakikuangalia. So long as unatumia sehemu zinazoitwa za siri, tendon titabaki kufanywa katika usiri.Wanabodi,
Binafsi huwa sielewi kwanini ni busara kufanya tendo hilo sehemu ambapo hamtaonekana na mwingine yaani sirini!?
Je kuna ubaya gani kulifanya tendo hilo hadharani au sehemu ambapo kuna watu!?
Ni siri ipi hiyo ifichwayo!?
Karibuni!!
Sent using Jamii Forums mobile app