Mtoto wa Jadu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 458
- 1,112
- Thread starter
- #101
Kwa sababu kuvaa nguo kunanikinga na baridi au mionzi hatarishi ya jua. Hivyo, nguo zinasaidia kuuhifadhi mwili wangu!!kwanini ni ngumu kwako kutembea bila nguo ??.. Ukijibu utapata jibu lako...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app