Mtoto wa Jadu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 458
- 1,112
- Thread starter
- #41
Wanabodi,
Binafsi huwa sielewi kwanini ni busara kufanya tendo hilo sehemu ambapo hamtaonekana na mwingine yaani sirini!?
Je kuna ubaya gani kulifanya tendo hilo hadharani au sehemu ambapo kuna watu!?
Ni siri ipi hiyo ifichwayo!?
Karibuni!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23]Nafikiri sababu kubwa ni kukwepa makalio yasipigwe na upepo
Kwa sababu linahusisha kugusanisha/kugusa sehemu za siri. Ndio maana hata katika kusafisha sehemu hizo kwa kunyoa au kupaka mafuta hufanyika kwa kificho yaani sirini.Wanabodi,
Binafsi huwa sielewi kwanini ni busara kufanya tendo hilo sehemu ambapo hamtaonekana na mwingine yaani sirini!?
Je kuna ubaya gani kulifanya tendo hilo hadharani au sehemu ambapo kuna watu!?
Ni siri ipi hiyo ifichwayo!?
Karibuni!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwanini zinaitwa sehemu.za siri mkuu!?Unataka lifanyike hadharani ili ugundue nini kipya mkuu?? Huwezi pingana na nature lasivyo jina na makao mapya yatahusika.
[emoji5] [emoji5]Mke wa mtu ni mtamu sana, hasa mnapokuwa mnakutana kwa siri
Sio kweli, hebu tafuta maana ya faragha. Ukiifahamu hautapata shida kuelewa kwanini tendo la ndoa halifanyiki hadharani.
Ulipokuwa unaumbwa tumboni mwa mama yako Mungu alikupa hekima na akili kama ilivyo kwa binadamu yeyote; hekima na akili vinakufanya utofautiane sana na viumbe wengine wasio navyo. Unajua kitu hiki ni chema kikiwa hadharani na hiki ni kibaya. Huwezi jifananisha wewe binadamu na paka au mbwa; wale hawana vitu hivi (hekima na akili ) ndiyo maana kila wanachokifanya wao wanaona ni sawa tu mbele ya walimwengu.
Kwani mtu kuuliza usichokifahamu ni vibaya!?Mmh kwa hio na hii ni hoja fikirishi ,
Na hili ni logic question kweli kutoka kwa great thinker
??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu -KANA- , kama unajua zaidi kuhusiana na faragha, tafadhari tuelimishe hapa, sisi tusiofahamu!!Sio kweli, hebu tafuta maana ya faragha. Ukiifahamu hautapata shida kuelewa kwanini tendo la ndoa halifanyiki hadharani.
Kuna tofauti kati ya "secret" na "privacy". Kindly find out what privacy means!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu majibu mengi umeshapewa hapo juu , jibu lake linahitaj tu common sense , si unajua kuonekana viungo vya ndani ni fedheha flan hivi wewe unaviona vzur kwani ni vyakwako kuna mwengine akikiona cha kwako ataanza kukucheka na kuona km hakipo ktk ukamilifuKwani mtu kuuliza usichokifahamu ni vibaya!?
Kama mkuu unaona jibu ni rahisi, kwanini usinieleweshe tu nami nikaelewa na kufurahia zaidi JF
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana ya neno faragha, kutoka katika Kamusi ya Kiswahili Sanifu, toleo la 3, ukurasa wa 109.Sio kweli, hebu tafuta maana ya faragha. Ukiifahamu hautapata shida kuelewa kwanini tendo la ndoa halifanyiki hadharani.
Kuna tofauti kati ya "secret" na "privacy". Kindly find out what privacy means!
Sent using Jamii Forums mobile app