Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
Kuna kitu cheusi kama giza na cheupe kama barafu......ni haramu kuliwa na halali kukinywa....kina herufi tano na kinaanza na neno M...kinatumika na wanaume mara TATU kwa siku na wanawake mara MOJA tu katika maisha yao yote.
JE NI KITU GANI HICHO?
JE NI KITU GANI HICHO?