LEX STEELE
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 224
- 110
astfanya utafiti uje na majibu. Sasa hapa unamuuliza nani?
Mkuu sisi ndio tulikwenda wenyewe kuomba msaada CHINA tukawalilia hali, wakakubali kutoa mkopo kwa riba nafuu na grace periond nzuri - vile vile wenyewe ndio watafanya kila kitu sisi tunakabidhiwa mradi uliyo kamilika - Serikali ya Uchina haiwezi kuleta watu wababaishaji kwenye miradi inayo husu Serikali kwa Serikali, wanajuwa vizuri Kampuni zipi huko Uchina za kutekeleza mradi kama huu wa kutandaza bomba na pump za kusukuma gesi.
Mbona watu wanawasakama Wachina sana, mbona tumewahi kushuhudia miradi ya ujenzi wa barabara unofadhiliwa na Wajapani lakini Wajapani wanaleta makampuni yao kujenga barabara mfano: Kajima na Konoike bila ya kutangaza tenda, si hilo tu hapo zamani Wajapani waliwahi kutoa fedha za kununulia mchele kwa mashariti kwamba ununuliwe Ujapan kwenyewe hili ni jambo la kawaida tu - why pick on CHINESE!!
Haya tuje kwa mradi wa kujenga Hydro Electric mto Rufiji/Stigler Gorge - Wabrazil watatoa pesa zao, Macontractors wao katika utekelezaji wa mradi huo, Brazil haiwezi kukubali kutoa fedha alafu sisi tujifanye kutafuta Ma-contractos kutoka nchi nyingine, mambo mengine hatuna jinsi mkuu.
Mwisho labda niseme kwamba kuna mradi wa kutandaza mabomba ya gesi huko Pakstani kama sikosei, wahusika wa mradi huu ni Wachina nafikili urefu wake hauna tofauti na huu wa kwetu, gharama za ujenzi na kila kitu hazizidiani na mradi wa hapa kwetu na kumbuka Pakstani hiko karibu na Uchina kijografia kuliko sisi - kuna baadhi ya watu wanafikili Wachina wamejipanga kutuibia?
Sasa ni zamu ya TPDC.Pasco. Upo sahihi PASCO Exim Bank of China wanajua rushwa ya kimataifa wanajua bei ya watawala wa kiafrika, watawala wetuwamepiga dili hapa,kwenye ishu ya bandari gati namba 13 na 14 ngawira zilitembezwa Wizarani ,TPA,TISS, kwa wabunge na washauri wa RAIS. Mzee Nundu alitolewa sadaka kwa uaminifu na uadilifu wake.Leo hatujifunzi tunafurahia mkopo wa aina ile ile wenye masharti ya mzabuni, mhandisi, mhandisi mshauri, msimamizi mmoja, wapi na wapi mwalimu wewe, mwanafunzi wewe, na bado unajisahihishia.
Siyo kwamba Wachina wamejipanga kutuibia. Ni viongozi wetu wanasiasa ndio waliojipanga kutuibia. Kuna jamaa ameweka thread hapa JF akisema sisi tunalipa kiasi kikubwa zaidi ya Pakistan ingawa ukubwa wa bomba na urefu ni mdogo kulinganishwa na Pakistan. Mikataba iwekwe wazi.Mkuu sisi ndio tulikwenda wenyewe kuomba msaada CHINA tukawalilia hali, wakakubali kutoa mkopo kwa riba nafuu na grace periond nzuri - vile vile wenyewe ndio watafanya kila kitu sisi tunakabidhiwa mradi uliyo kamilika - Serikali ya Uchina haiwezi kuleta watu wababaishaji kwenye miradi inayo husu Serikali kwa Serikali, wanajuwa vizuri Kampuni zipi huko Uchina za kutekeleza mradi kama huu wa kutandaza bomba na pump za kusukuma gesi.
Mbona watu wanawasakama Wachina sana, mbona tumewahi kushuhudia miradi ya ujenzi wa barabara unofadhiliwa na Wajapani lakini Wajapani wanaleta makampuni yao kujenga barabara mfano: Kajima na Konoike bila ya kutangaza tenda, si hilo tu hapo zamani Wajapani waliwahi kutoa fedha za kununulia mchele kwa mashariti kwamba ununuliwe Ujapan kwenyewe hili ni jambo la kawaida tu - why pick on CHINESE!!
Haya tuje kwa mradi wa kujenga Hydro Electric mto Rufiji/Stigler Gorge - Wabrazil watatoa pesa zao, Macontractors wao katika utekelezaji wa mradi huo, Brazil haiwezi kukubali kutoa fedha alafu sisi tujifanye kutafuta Ma-contractos kutoka nchi nyingine, mambo mengine hatuna jinsi mkuu.
Mwisho labda niseme kwamba kuna mradi wa kutandaza mabomba ya gesi huko Pakstani kama sikosei, wahusika wa mradi huu ni Wachina nafikili urefu wake hauna tofauti na huu wa kwetu, gharama za ujenzi na kila kitu hazizidiani na mradi wa hapa kwetu na kumbuka Pakstani hiko karibu na Uchina kijografia kuliko sisi - kuna baadhi ya watu wanafikili Wachina wamejipanga kutuibia?
Splendid indeed MKuu, hapo umenena - kama kuna Waswahili wanataka kufanya ujanja hapa na pale basi wachukuliwe hatua, lakini tusilahumu Wachina wholesale, bei za mabomba yenye diameter tofauti inajulikana, gharama za kutandaza bomba kwa kilometer moja inajulikana na hii inategemea mabomba yatapitishwa kwenye geographical formation ya aina gani, bei za pump na pump house za kusukumia gezi zinajulikana, gharama za usafirishaji wa mabomba kwa njia ya majini kutoka Uchina kuja hapa kwetu zinajulikana, logistic ya kusafirisha mabomba mpaka kwenye site zinajulikana, mtu ukiwa na information hii ni rahisi kuwakamata wajanja sasa tatizo liko wapi. Eti wachina wanaonga ili wapate miradi, watu wa magaharibi ni wa ajabu sana - Serikali ya Tanzania ndio ilikwenda kuomba mkopo kutoka kwa Wachina, sio mkopo tu walipewa na jukumu la kutekeleza project nzima mpaka mwisho, what's wrong with that if I may ask? Juzi Juzi hapa nilimsikia Waziri Mkuu wa Uchina Tigen-Ping akiseama wazi wazi kwamba kiongozi yeyote akikamatwa anakula rushwa anatwangwa risasi, na Wachina hawana utani katika hilo.Siyo kwamba Wachina wamejipanga kutuibia. Ni viongozi wetu wanasiasa ndio waliojipanga kutuibia. Kuna jamaa ameweka thread hapa JF akisema sisi tunalipa kiasi kikubwa zaidi ya Pakistan ingawa ukubwa wa bomba na urefu ni mdogo kulinganishwa na Pakistan. Mikataba iwekwe wazi.
1. Ilitangazwa lini
2. Consultant alikuwa nani?
3. Estimates zake zinasemaje?
4. Tenda ilitangazwa na idara zipi za serikali?
5. Kampuni ngapi ziliomba hiyo tenda?
6. Majina ha hizo kampuni zilizoomba yako wapi?
7. Evaluation team ya hiyo tender ilihusisha akina nani?
8. Pre qualification stage zilipita kampuni ngapi?
9. Zilizoshindwa zilitolea kwa vigezo vipi?
10 .Technical specs za huu mradi ni zipi?
11. Financial specs za huu mradi mbona siri kubwa?
12. Je kampuni ngapi za wana Mtwara zilihusishwa hata kwenye sub contracting?
13. jE mtwara development agency WALIHUSISHWAJE KWENYE HUU MPANGO?
14. hIZI TUHUMA ZA WATU KULA PESA cHINA NI KWELI?
Splendid indeed MKuu,
hapo umenena - kama kuna Waswahili wanataka kufanya ujanja hapa na pale
basi wachukuliwe hatua, lakini tusilahumu Wachina wholesale, bei za
mabomba yenye diameter tofauti inajulikana, gharama za kutandaza bomba
kwa kilometer moja inajulikana na hii inategemea mabomba yatapitishwa
kwenye geographical formation ya aina gani, bei za pump na pump house za
kusukumia gezi zinajulikana, gharama za usafirishaji wa mabomba kwa
njia ya majini kutoka Uchina kuja hapa kwetu zinajulikana, logistic ya
kusafirisha mabomba mpaka kwenye site zinajulikana, mtu ukiwa na
information hii ni rahisi kuwakamata wajanja sasa tatizo liko wapi. Eti
wachina wanaonga ili wapate miradi, watu wa magaharibi ni wa ajabu sana -
Serikali ya Tanzania ndio ilikwenda kuomba mkopo kutoka kwa Wachina,
sio mkopo tu walipewa na jukumu la kutekeleza project nzima mpaka
mwisho, what's wrong with that if I may ask? Juzi Juzi hapa nilimsikia
Waziri Mkuu wa Uchina Tigen-Ping akiseama wazi wazi kwamba kiongozi
yeyote akikamatwa anakula rushwa anatwangwa risasi, na Wachina hawana
utani katika hilo.