Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 97
"Simple men discuss people, while great men discuss ideas"
hahahahaha I like this!....
"Simple men discuss people, while great men discuss ideas"
vip RA upo humu pia???"Simple men discuss people, while great men discuss ideas"
Mkuu Hawajapita darasa la kwanza hawaWatu hamna adabu na nchi yenu sio?
Mkuu Kilimo Kwanza kinaingiajeingiaje hapo - kwa fedha za EPA?
"Simple men discuss people, while great men discuss ideas"
Rostam Azizi (Richmond/Dowans & Kagoda)
Vijisenti Chenge (Rada)
Idrissa Rashid (Rada)
Mkapa (Rada, EPA, Ndege ya Rais, Kiwira, Kuuza nyumba za ST, mikataba ya madini, kuuza NBC, kufanya biashara Ikulu n.k)
Jeetu Patel (EPA & Kilimo Kwanza)
Yussuf Manji (EPA & NSSF)
Subhash Patel (EPA )
Karamagi (Buzwagi & TICTS)
Yona (Kiwira)
Makamba (Jengo la UVCCM na kwenda kuchota kila kukicha kwa akina Manji na wengineo)
Hawa wote ni mafisadi na hakuna hata mtu ambaye atakayethubutu kuwagusa
IMO, JK is not among the most powerful people in Tanzania otherwise nchi isingeenda mrama. He may appear to be one of the most powerful people in Tanzania due to his position but in reality that is not true.
Watanzania kumi ambao mi nafikiri ndio most powerful
ni hawa. 1.jakaya kikwete
2.salma kikwete
3.rostam aziz
4.edward lowassa
5.mizengo pinda
6.yusuph makamba
7.mohamed shein
8.samuel sitta
9.anna kilango
10.bernad membe.
Ingawa kikatiba na sheria dk shein alipaswa kuwa second most
powerful lakini kwa kuwa power inakuwa influenced na mambo
mengi ikiwemo urafiki na ukaribu wa mtu kwa mwenye nguvu zaidi,,,,naona nafasi yake ni no saba.
Samuel sitta kikatiba yeye ni wa tatu but mahusiano yake na hao wengine yamempunguza nguvu,ndio maana akasulubiwa na nec ya ccm.
Makamba ana nguvu ya position yake ya kichama na ukaribu wake kwa jk,
lowassa na rostam still very powerfull,,,
they are untouchables regardless kagoda na richmond..
Na hata teuzi za jk bado wanazi influence.
Je unafikiri nani anastahili kuwemo???nani hastahili??
Yupi unafikiri ana nguvu zaidi kuliko rank yake niliompa???au yupi hana nguvu hizo??????
msimamizi wa jf anatakiwa kuwa makini sana na mapandikizi ya ze utamu humu, we have so muchto discuss here brothers:
Wabunge posho mbili
mawaziri posho mbili
barabara za vumbi kwa sababu ya posho mbili
mawaziri magari binafsi na magari ya serikali, mafuta kila upande huku watoto wa masikini wakikopeshwa asilimia 40 tu ya ada ya chuo kikuuu.
Wagonjwa hospitali hawana madaktrai wala manesi wa kuwahudumia kwa sababu ya mishahara midogo.
Umeme wa mgao kwa sababu mtu hatendi kazi zake sawsawa.
Foleni ya masaa mawili dar es salaamu kwenda kazini kwa sababu kuna watu wanapokea posho mbili na hawaoni hili kama tatizo.
Bei ya petroli, dizeli, mafuta ya taa na gesi juu bila sababu za msingi.
Inflation inayofikia asilimia kumi na mbili kutoka asilimia nne bila sababu za msingi.
Bei ya chakula kuongezeka kila kukicha kwa sababu mtu anashauriwa na m............w..............
Na mengine mengi.#
yote haya ni hoja za kujadili hapa, sasa inakuwaje mnakubali huu ujinga? ( siyo upumbavu kwa sababu ni kipaji)
yeah! But it is impossible to discuss ideas in our beloved country wakati nchi imeshikwa na mafisadi for more than 10 years now. Tell me how do you discuss ideas with fisadis who are there to destroy our beloved country!? Which ideas can we discuss while nchi imegubikwa na ufisadi!?
shame on u,
ooh darling,njoo pm,