Ten most powerful people in Tanzania! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ten most powerful people in Tanzania!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Boss, Nov 4, 2009.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Watanzania kumi ambao mi nafikiri ndio most powerful ni hawa.

  1.jakaya kikwete
  2.salma kikwete
  3.rostam aziz
  4.edward lowassa
  5.mizengo pinda
  6.yusuph makamba
  7.mohamed shein
  8.samuel sitta
  9.anna kilango
  10.bernad membe.

  Ingawa kikatiba na sheria dk shein alipaswa kuwa second most
  powerful lakini kwa kuwa power inakuwa influenced na mambo
  mengi ikiwemo urafiki na ukaribu wa mtu kwa mwenye nguvu zaidi,,,,naona nafasi yake ni no saba.

  Samuel sitta kikatiba yeye ni wa tatu but mahusiano yake na hao wengine yamempunguza nguvu,ndio maana akasulubiwa na nec ya ccm.

  Makamba ana nguvu ya position yake ya kichama na ukaribu wake kwa jk,
  lowassa na rostam still very powerfull,,,
  they are untouchables regardless kagoda na richmond.

  Na hata teuzi za jk bado wanazi influence.

  Je unafikiri nani anastahili kuwemo? nani hastahili??

  Yupi unafikiri ana nguvu zaidi kuliko rank yake niliompa???au yupi hana nguvu hizo??????
   
 2. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2009
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Mkuu sikubaliani na wewe kbaisa naona umepanga mpangilio wa wala pesa yawalipa kodi, yaani nani anamkato na marupu rupu mengi na mwizi mzuri, lakini the most poweful Tanzanians huo mpangilio haumo labda tupe vigezo. Unajua Nguvu aliyonayo mathalan Muhashamu Kadinali Pengo? kuna wengi tu wanokubalika na watu sio kwa nadharia tu, watu wapo tayari kuambiwa na huyo mtu wafe wakafa bila hata kuuliza why?
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  ok tuanze na pengo,
  wakatoliki wako wangapi??karibu walokole wote walikuwa wakatoliki
  but now ni walokole na hawamsikilizi pengo.

  halafu hao watu ni powerfull regardless kama
  wanapendwa au hawapendwi...
  wana nguvu za kiserikali na kidola au za kichama ambacho kinatawala
  sizungumziii watu wanaokubalika na kupendwa na watanzani.
  bush alikuwa hapendwi na watu ndani na nje ya marekani
  but he was the most powerfull man in the world,umenipata??????
   
 4. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #4
  Nov 4, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,607
  Likes Received: 3,909
  Trophy Points: 280
  JK
  RA
  EL

  Bakhresa
  Askofu Kakobe
  Askofu Kulola
  Mchungaji Lwakatare
  Sheikh Yahaya
  Mtume Mwingira
  K.Pengo
  Mkapa
  Mwinyi


  Katika list yako hapo juu

  Hao wengine wahesabu maumivu!
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Nov 4, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,607
  Likes Received: 3,909
  Trophy Points: 280
  Boss kuna haja ya kutenganisha kati ya influential and powerful figures
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,859
  Likes Received: 83,340
  Trophy Points: 280
  Rostam Azizi (Richmond/Dowans & Kagoda)
  Vijisenti Chenge (Rada)
  Idrissa Rashid (Rada)
  Mkapa (Rada, EPA, Ndege ya Rais, Kiwira, Kuuza nyumba za ST, mikataba ya madini, kuuza NBC, kufanya biashara Ikulu n.k)
  Jeetu Patel (EPA & Kilimo Kwanza)
  Yussuf Manji (EPA & NSSF)
  Subhash Patel (EPA )
  Karamagi (Buzwagi & TICTS)
  Yona (Kiwira)
  Makamba (Jengo la UVCCM na kwenda kuchota kila kukicha kwa akina Manji na wengineo)


  Hawa wote ni mafisadi na hakuna hata mtu ambaye atakayethubutu kuwagusa
  IMO, JK is not among the most powerful people in Tanzania otherwise nchi isingeenda mrama. He may appear to be one of the most powerful people in Tanzania due to his position but in reality that is not true.
   
 7. M

  Mkandara Verified User

  #7
  Nov 4, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Na Chande na Apson mmewaacha wapi?
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mhhh.
   
 9. Companero

  Companero Platinum Member

  #9
  Nov 4, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mkuu Kilimo Kwanza kinaingiajeingiaje hapo - kwa fedha za EPA?
   
 10. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  "Simple men discuss people, while great men discuss ideas"
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Nov 4, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  acha kukariri,elewa.
   
 12. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #12
  Nov 4, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  There are the people who run the city and the people who run the people who run the city. Hao ulio wataja mkuu ndiyo tunao waona ila nina uhakika kuna watu behind the doors ambao wanaweza kuwa na nguvu zaidi ya hao sema hawaonekani. You might be surprised.
   
 13. Companero

  Companero Platinum Member

  #13
  Nov 4, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ufisadi is an idea, a very corrupt idea developed by corrupt people!
   
 14. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #14
  Nov 4, 2009
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sijamsikia Hosea?

  Leka
   
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  Nov 4, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  kabisa.
   
 16. A

  African Member

  #16
  Nov 4, 2009
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It depends with your conception of power. The classical definition of power in political science is - the ability of A to get B do what B wouldn't otherwise done. Power may be exercised through an act of violence , withholding rights/opportunities, threat etc. This is the most mechanical way of exercising power. The most sophisticated way of exercising power is perception - the perception B has over A-therefore making B to submit to B ( the case of Africans to Wazungu). There is a form of power called latent power applied so latently- in this case the power of the religious leaders through their institutions. Because of their integrity, consciousness, God fearing tendencies and the services they offer to the society. The guys you have mentioned above like Jeetu et al they occupy high social class but not necessary social status. Social status is drawn and judged from your humbleness and integrity. It is the latent form of power that moves mountains. You can definitely buy a social class but not social status. You engange yourself in corruption, drugs business and buy a social class easily by shifting your residence to Masaki but yet you can not buy social status because you are accorded that by the faithfuls in the sociaty.
   
 17. M

  Mayolela JF-Expert Member

  #17
  Nov 4, 2009
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa mtazamo wangu ni ,
  1.Mizengo Pinda
  2.Magufuli John
  3.Anne Killango
  4.Samuel Sitta
  5.Edward Hoseah
  6.Jakaya Kikwete
   
 18. Johas

  Johas Senior Member

  #18
  Nov 4, 2009
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Nadhani, kuna hivi vitu vitatu katika jamii yoyote ya watu; "Money, Power and Respect". Siku zote vitu hivi havitokei mtu akawa navyo kwa ukamilifu kwa pamoja, lazima kutakuwa na utofauti wa kukilimiwa.Kuna wale wenye nguvu ya Pesa na wengine nguvu ya ki-siasa/madaraka, alikadhalika heshima aliyonayo mtu kwa jamii inayomzunguka.
  Sasa katika hiyo list yako ambayo nafikili ume-base sana sana kwa wanasiasa haiwezi ikatoa jibu la moja kwa moja kwamba hao ndio wenye nguvu zaidi katika jamii yetu kuliko watanzania wote zaidi ya millioni 40.
  Kuna watu humu bwana, wapo kimnyaa tuu lakini sio mchezo!!
   
 19. Semenya

  Semenya JF-Expert Member

  #19
  Nov 4, 2009
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 572
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  Pamoja na kutomtaja EL ngoja Nikusaidie madili ya Richmond na mengine yote makubwa ambayo RA alishiriki EL alishiriki. Kama unajifanya unataka kuleta unafiki wakumtetea haiwezekani. EL ni mwizi wa nchi hii.
   
 20. Nyuki

  Nyuki JF-Expert Member

  #20
  Nov 4, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0  Jeetu Patel mkuu anakesi ya EPA inaenedelea huku ameshinda zabuni ya kuleta matrekta ya bilioni 50 kwa ajili ya kutekeleza kilimo kwanza !!!!!!!!!!!!!! upo hapo mkuu
   
Loading...