Watanzania kumi ambao mi nafikiri ndio most powerful
ni hawa. 1.jakaya kikwete
2.salma kikwete
3.rostam aziz
4.edward lowassa
5.mizengo pinda
6.yusuph makamba
7.mohamed shein
8.samuel sitta
9.anna kilango
10.bernad membe.
Ingawa kikatiba na sheria dk shein alipaswa kuwa second most
powerful lakini kwa kuwa power inakuwa influenced na mambo
mengi ikiwemo urafiki na ukaribu wa mtu kwa mwenye nguvu zaidi,,,,naona nafasi yake ni no saba.
Samuel sitta kikatiba yeye ni wa tatu but mahusiano yake na hao wengine yamempunguza nguvu,ndio maana akasulubiwa na nec ya ccm.
Makamba ana nguvu ya position yake ya kichama na ukaribu wake kwa jk,
lowassa na rostam still very powerfull,,,
they are untouchables regardless kagoda na richmond..
Na hata teuzi za jk bado wanazi influence.
Je unafikiri nani anastahili kuwemo???nani hastahili??
Yupi unafikiri ana nguvu zaidi kuliko rank yake niliompa???au yupi hana nguvu hizo??????