Temeke mtuazime Mbunge wenu walau kwa miaka mitano tu

​simfahamu vizuri huyu baba sitti.......lakini nakumbuka tu kuwa ni wakala mkubwa wa kupeleka ma houseboy na mahouse girl arabuni
 
Acheni Propaganda barabara nyingi Temeke zilijengwa kwa Ufadhili wa World bank

Zilijengwa sambamba na barabara za Manzese kama hujui kitu uliza na sio kupotosha umma.

Hakuna mbunge anayekusanya kodi. Pia jiulize kila lita moja ya mafuta tunakatwa tsh 260/= kwa ajili ya mfuko wa barabara huwa zinaishia wapi?
 
Acheni u.fa.la , kwani World Bank toka Washington ndo wanazijua fika barabara zinazohitaji kujengwa au kukarabatiwa?

Ni wawakilishi makini wanao lobby na kuhakikisha miradi hiyo imevutwa na kutekezwa jimboni mwao.

Tumechoka na huyu mbunge hewa na wakati huo huo watendaji kinondoni wanatia lami Oysterbay kwenye mitaa inayoserve si zaidi ya nyumba kumi kwa kodi zetu sote.

Kawe hatuna mbunge, tusifanye kosa litakalotugharimu miaka mingine mitano.
 
Acha kulalamika ilikua project ya mitaa duni ndio maana wakaenda Pia Manzese na sio Masaki.Project za Temeke na Manzese zimeanza tangu 2008 kabla hao akina Mdee kuchaguliwa kwanini aliyekua mbunge wa Kawe hakulobby project zikaja kwake wakati huo? Hiyo barabara ya Makongo iko chini ya manispaa ya Kinondoni na sio Tanroad.

Jiulize jimbo la kawe lina Madiwani wa ngapi wa Kijani? Na kwanini hawajapitisha pesa ya kujenga?

Hiyo barabara ya Makongo inajengwa kwa phase kwa kuwa manispaa haina pesa ya kutosha walijenga 0.7km pale Survey na pia wakajenga Daraja linalounganisha Makongo na Goba then iliyobaki watajenga kulingana na vipaumbele vyao

Pia mwambie Mkùu wa chuo (M) atuondolee kale ka uchafu pale njiani na aondoe kesi mahakamani kupisha huo ujenzi

Pia usisahau kuwa mbunge hakusanyi kodi yeye ni mhamasishaji tu. Hilo jimbo lilikua na wabunge wa kijani kwa zaidi ya miaka 50 kabla ya mdee jiulize walifsnya nini?
 
Usiwe na aguments za kitoto!
Na kule Hai jimboni kwa Mbowe, mbona barabara inahengwa na si fedha ya WB wala Manispaa!
Loby ya mtu ndio inawezesha maendeleo, hao kina Mdee ni vijdudu mtu tu.
 
Mbunge wa Temeke anaishi mbezi beach, ujinga huu.
 
ukweli mchungu ndio huo, halmashauri ya wilaya ya temeke wamejitahidi kwa barabara za mtaani ukilinganisha na halmashauri ya Kinondoni na Ilala.

sasa hapo wa kulaumiwa ni wabunge na madiwani na wenyeviti serikali za mitaa wa kinondon na ilala.
 
hello wadau,

juzi kati nilikuwa nazunguka zunguka wilaya ya temeke, yaani lami za kutosha. I mean mitaa kibao kuna barabara za lami.

Sasa nikajiuliza, hawa jamaa wa temeke mapanga shaa, si watuazime tu mbunge wao kwa miaka kadhaa ili na sisi huku makongo juu tupate lami jamani?

Yaani barabara nzima mashimo tupu, mpaka watu wanayaita vibakuli!!!!. Mahali pa kwenda dakika saba (mwenge -makongo juu) unatumia dakika 45!

Hivi wabunge wengine, mfano huyu wa temeke wanatumia mbinu gani mpaka majimbo yao yana barabara za lami kibao?

Acheni unoko tmk, tupeni huyo jamaa na sisi tukae nae kidogo halafu tutawarudishia.
umesema kweliiii mbunge wetu bongo lala wakati wa kijani walau ilikuwa inapitishwa greda kila wakati sasa hivi hakuna
 
Hello wadau,

Juzi kati nilikuwa nazunguka zunguka Wilaya ya Temeke, yaani lami za kutosha. I mean mitaa kibao kuna barabara za lami.

Sasa nikajiuliza, hawa jamaa wa Temeke mapanga shaa, si watuazime tu mbunge wao kwa miaka kadhaa ili na sisi huku Makongo Juu tupate lami jamani?

Yaani barabara nzima mashimo tupu, mpaka watu wanayaita vibakuli!!!!. Mahali pa kwenda dakika saba (Mwenge -Makongo Juu) unatumia dakika 45!

Hivi wabunge wengine, mfano huyu wa Temeke wanatumia mbinu gani mpaka majimbo yao yana barabara za lami kibao?

Acheni unoko TMK, tupeni huyo jamaa na sisi tukae nae kidogo halafu tutawarudishia.

mbona ameshindwa kuunganisha keko magurumbasi na keko mwanga.....

hata kwa baiskeli ni shida kufika tena usiombe ikanyesha mvua ndio balaaa
 
Mtemvu anaishi masaki ....Temeke kuwa hivi si kwa sababu ya mtemvu ni kutokana na mapato ya wilaya ....katika manispaa zenye mapato makubwa Tz nzima TMK inaingia katika tano bora
 
Usiwe na aguments za kitoto!
Na kule Hai jimboni kwa Mbowe, mbona barabara inahengwa na si fedha ya WB wala Manispaa!
Loby ya mtu ndio inawezesha maendeleo, hao kina Mdee ni vijdudu mtu tu.

Barabara%2B5.JPG

Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika, Waziri wa Ujenzi, Dkt John Magufuli na Mbunge wa Jimbo la Kawe, Halima Mdee mara baada ya kuzindua mitambo itakayofanya kazi katika ujenzi wa barabara ya Mbezi mwisho-Goba-Tangi bovu
 
Acheni u.fa.la , kwani World Bank toka Washington ndo wanazijua fika barabara zinazohitaji kujengwa au kukarabatiwa?

Ni wawakilishi makini wanao lobby na kuhakikisha miradi hiyo imevutwa na kutekezwa jimboni mwao.

Tumechoka na huyu mbunge hewa na wakati huo huo watendaji kinondoni wanatia lami Oysterbay kwenye mitaa inayoserve si zaidi ya nyumba kumi kwa kodi zetu sote.

Kawe hatuna mbunge, tusifanye kosa litakalotugharimu miaka mingine mitano.

Barabara%2B7.JPG

Muonekano wa sasa katika hatua za awali za ujenzi wa barabara ya Mbezi mwisho-Goba-Tangibovu eneo la Goba

Kuwa na Mbunge kama Mdee Kawe ni balaa lingine kwa miaka 5!

Barabara nyingine ni ile ya Wazo Hill-Goba yenye urefu wa kilometa 20 ikikamilika kwa kiwango cha lami itaziunganisha barabara za Bagamoyo na Morogoro ambazo zimekuwa zikikabiliwa na msongamano kwa muda mrefu.
 
Ujue ana ushawshi serikalini na kwa viongoz ila km ni mpinzani kwenu basi cake ya taifa huliwa kwa masharti.😀😀😀😀😀

Lakini si mbaya walipo wapinzani watu wamejenga lami kichwani kwa kuelimika na kujitambua kuliko lami ya vumbi wakati kichwa Empty.
 
Hello wadau,

Juzi kati nilikuwa nazunguka zunguka Wilaya ya Temeke, yaani lami za kutosha. I mean mitaa kibao kuna barabara za lami.

Sasa nikajiuliza, hawa jamaa wa Temeke mapanga shaa, si watuazime tu mbunge wao kwa miaka kadhaa ili na sisi huku Makongo Juu tupate lami jamani?

Yaani barabara nzima mashimo tupu, mpaka watu wanayaita vibakuli!!!!. Mahali pa kwenda dakika saba (Mwenge -Makongo Juu) unatumia dakika 45!

Hivi wabunge wengine, mfano huyu wa Temeke wanatumia mbinu gani mpaka majimbo yao yana barabara za lami kibao?

Acheni unoko TMK, tupeni huyo jamaa na sisi tukae nae kidogo halafu tutawarudishia.

Unaposema Temeke unamaanisha mpaka Kigamboni! Ulishafika huko??!! ACHA UPOTOSHAJI! Ni aibu kuliko kukaa kimya.
 
Acheni Propaganda barabara nyingi Temeke zilijengwa kwa Ufadhili wa World bank

Zilijengwa sambamba na barabara za Manzese kama hujui kitu uliza na sio kupotosha umma.

Hakuna mbunge anayekusanya kodi. Pia jiulize kila lita moja ya mafuta tunakatwa tsh 260/= kwa ajili ya mfuko wa barabara huwa zinaishia wapi?

Ni kweli kabisa kaka Waambie na watu wa mbeya watakuelewa vizuri kwani wanadhani sugu ndio alijenga barabara za mbeya. Watu Wanatakiwa kujua kuwa si mtenvu wa CCM au sugu wa CDM wenye uwezo wa kujenga barabara. Ule ni mradi wa world bank. Hauingiliani na siasa na walisimamia wenyewe.
 
Ninyi ndo mnaotumia ma.sa.buri Pinda kufikiria ... Unaweza vipi kulinganisha Kawe na Temeke? Temeke wanatumia daladala zaidi... Kawe wanatumia usafiri binafsi zaidi... Temeke wanaishi viongozi wangapi wenye kupita kwa Msafara ukilinganisha na jimbo la Kawe? ... Endelea kubwia sembe labda akili itarejea ...

Back
Top Bottom