Temeke mtuazime Mbunge wenu walau kwa miaka mitano tu

superstar1

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2014
Posts
222
Reaction score
176
Hello wadau,

Juzi kati nilikuwa nazunguka zunguka Wilaya ya Temeke, yaani lami za kutosha. I mean mitaa kibao kuna barabara za lami.

Sasa nikajiuliza, hawa jamaa wa Temeke mapanga shaa, si watuazime tu mbunge wao kwa miaka kadhaa ili na sisi huku Makongo Juu tupate lami jamani?

Yaani barabara nzima mashimo tupu, mpaka watu wanayaita vibakuli!!!!. Mahali pa kwenda dakika saba (Mwenge -Makongo Juu) unatumia dakika 45!

Hivi wabunge wengine, mfano huyu wa Temeke wanatumia mbinu gani mpaka majimbo yao yana barabara za lami kibao?

Acheni unoko TMK, tupeni huyo jamaa na sisi tukae nae kidogo halafu tutawarudishia.
 
Umenena ukweli mtupu, wilaya ya temeke imejitahidi kwa lami kiasi fulani ikilinganishwa na Ilala na Kinondoni hasa ktk barabara za mitaa.Kuna barabara moja iko kinondoni daaah.Inatoka kinondoni kanisani kuelekea kijitonyama kupitia mwananyamala ni aibu kubwa sana.Huwezi amini kama iko jijini.Nyingine inatoka mwananyamala kwenda Tandale aibu tupu.Ilala barabara inayotoka buguruni malapa kupitia makaburini kuelekea buguruni sheli ni aibu tupu.Pale Buguruni sokoni ni aibu tupu.Barabara kutoka Muhimbili kuelekea fire usipokuwa makini unaweza kuzama kwenye chemba za maji machafu.Kariakoo ndio hakufai kabisa chemba nyingi ziko wazi tena barabarani ni hatari hata kwa watembea kwa miguu.Barabara inayotoka Mombaza- Ukonga kuelekea mazizini ni aibu kubwa(diwani wake ni meya wa ilala).Pugu yote ni aibu tupu, tabata, Makongo etc Ukiwa jijini Dsm watu wengi wanaendesha magari kwa uzoefu tu bila kutumia uzoefu unaweza kupasua matairi au hata kupata ajili.Nyerere road ina mashimo moja moja hasa sehemu ya vingunguti kuelekea Airport.
 
Acheni unoko TMK, tupeni huyo jamaa na sisi tukae nae kidogo halafu tutawarudishia.[/QUOTE...KAZI MBUNGE SIO KUJENGA BARA BARA NA CCM KUPITIA SERIKALI YAKE UWA INAWATENDEA WANANCHI WALIOCHAGUA UPINZANI ISIVYO ILI WAJILAUMU KWA KUCHAGUA UPINZANI!.....AKILI ZA KISWAHILI NDIO MAANA HAKUNA MSWAHILI MWENYE KUWEZA KUTENGENEZA KIBIRITI TU.......
 
Mtemvu huyu huyu mwenye kampuni la kusafirisha wasichana wa kiislamu kwenda uarabuni kufanya kazi za kitumwa!? Mtemvu huyu huyu aliyeshirikiana na bintiye kudanganya umri!? Acha mzaha mkuu.
 
Kazi ya mbunge ni kusimamia vizuri rasilimali za nchi na kutafuta wafadhili mbalimbali.Sio kupiga makekelele bungeni.
Hivi katika Tanzania hii ni Mbunge gani vile kawatafutia WaTanzania kazi za utwana huko Oman?
Maana km unaweza kuwa Houseboy au housegirl kunatofauti gani na Utumwa wa mwarabu?
km ni kazi ya Mbunge ni hiyo basi hafai kabisa
 
Umenena ukweli mtupu, wilaya ya temeke imejitahidi kwa lami kiasi fulani ikilinganishwa na Ilala na Kinondoni hasa ktk barabara za mitaa.Kuna barabara moja iko kinondoni daaah.Inatoka kinondoni kanisani kuelekea kijitonyama kupitia mwananyamala ni aibu kubwa sana.Huwezi amini kama iko jijini.Nyingine inatoka mwananyamala kwenda Tandale aibu tupu.Ilala barabara inayotoka buguruni malapa kupitia makaburini kuelekea buguruni sheli ni aibu tupu.Pale Buguruni sokoni ni aibu tupu.Barabara kutoka Muhimbili kuelekea fire usipokuwa makini unaweza kuzama kwenye chemba za maji machafu.Kariakoo ndio hakufai kabisa chemba nyingi ziko wazi tena barabarani ni hatari hata kwa watembea kwa miguu.Barabara inayotoka Mombaza- Ukonga kuelekea mazizini ni aibu kubwa(diwani wake ni meya wa ilala).Pugu yote ni aibu tupu, tabata, Makongo etc Ukiwa jijini Dsm watu wengi wanaendesha magari kwa uzoefu tu bila kutumia uzoefu unaweza kupasua matairi au hata kupata ajili.Nyerere road ina mashimo moja moja hasa sehemu ya vingunguti kuelekea Airport.

Nimependa uchambuzi wako haujaegemea mlengo wote.
 
Kuwa na Mbunge kama Mdee Kawe ni balaa lingine kwa miaka 5!

Mkuu ubovu wa hizi barabara sio jimbo la kawe tu kuna bwana mmoja hapo juu kaonyesha maeneo mbalimbali yenye mapungufu..chukulia Barabara kama Ya akachube inayopita mabatini kutokea Afrika sana sinza imejengwa kwa kiwango cha lami kama mwaka mmoja ulopta lakn sasa hivi imekuwa ya vumbi,kuna kuna vitu ambavyo havijakaa sawa huko serikalini.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Laah, umejitahidi kweli kweli kumpigia promo, ila hili la barabara poa linapokuja wala ni mtenvu ndio tatizo, jamaa kajichafua mno kapenda nyingi nasaba anaambulia mwingi msiba.
 
Hello wadau,

Juzi kati nilikuwa nazunguka zunguka Wilaya ya Temeke, yaani lami za kutosha. I mean mitaa kibao kuna barabara za lami.

Sasa nikajiuliza, hawa jamaa wa Temeke mapanga shaa, si watuazime tu mbunge wao kwa miaka kadhaa ili na sisi huku Makongo Juu tupate lami jamani?

Yaani barabara nzima mashimo tupu, mpaka watu wanayaita vibakuli!!!!. Mahali pa kwenda dakika saba (Mwenge -Makongo Juu) unatumia dakika 45!

Hivi wabunge wengine, mfano huyu wa Temeke wanatumia mbinu gani mpaka majimbo yao yana barabara za lami kibao?

Acheni unoko TMK, tupeni huyo jamaa na sisi tukae nae kidogo halafu tutawarudishia.

Huyo Mbunge safi kabisa. Kwenye barabara kafanya kazi ya maana sana. Hata mimi najiuliza kaweza vipi.

Cha ajabu, wilaya hiyo hiyo ya Temeke kuna jimbo lingine la kigamboni. Linachkua Kigamboni proper hadi maeneo ya Mbagala. Huku Mbunge wetu bure kabisa. Haya majimbo yote mawili apewe Mtemvu!
 
Tatizo unayempigia chepuo ni wa CCM ndo maana question marks zimekuwa nyingi.

We ungetupia Ubungo wala wasingehoji mambo ya Iq,meno yangewatoka kama ngili anayezaa hata kama alichokifanya hakionekani.

Siasa mchezo wa kinafiki.
 
Kazi ya mbunge ni kujenga barabara?

Hello wadau,

Juzi kati nilikuwa nazunguka zunguka Wilaya ya Temeke, yaani lami za kutosha. I mean mitaa kibao kuna barabara za lami.

Sasa nikajiuliza, hawa jamaa wa Temeke mapanga shaa, si watuazime tu mbunge wao kwa miaka kadhaa ili na sisi huku Makongo Juu tupate lami jamani?

Yaani barabara nzima mashimo tupu, mpaka watu wanayaita vibakuli!!!!. Mahali pa kwenda dakika saba (Mwenge -Makongo Juu) unatumia dakika 45!

Hivi wabunge wengine, mfano huyu wa Temeke wanatumia mbinu gani mpaka majimbo yao yana barabara za lami kibao?

Acheni unoko TMK, tupeni huyo jamaa na sisi tukae nae kidogo halafu tutawarudishia.

Barabara zinajengwa kwa kodi zetu wananchi, mbunge kazi yake ni kusimamia na kudai kile wananchi wanachota mfano, makazi bora, huduma za afya rafiki na bora kwa binaadamu , upatikanaji wa dawa wa uhakika na malazi mazuri awapo hospitalin, uhakika wa maji safi na salama, utoaji wa elimu bora na ya uhakika pamoja na vitendea kazi sehemu husika na ulinzi na usalama wa raiya wake na kusimamia kodi mapato na matumizi.
 
Mtemvu huyu huyu mwenye kampuni la kusafirisha wasichana wa kiislamu kwenda uarabuni kufanya kazi za kitumwa!? Mtemvu huyu huyu aliyeshirikiana na bintiye kudanganya umri!? Acha mzaha mkuu.

Kipindi cha kujipa promo hiki mdau labda ndio yeye mwenyewe kapost ili kupima upepo.
 
Back
Top Bottom