Temeke mtuazime Mbunge wenu walau kwa miaka mitano tu

Mtemvu anaishi masaki ....Temeke kuwa hivi si kwa sababu ya mtemvu ni kutokana na mapato ya wilaya ....katika manispaa zenye mapato makubwa Tz nzima TMK inaingia katika tano bora
Mama yae ndo uko Masaki, yeye yuko Mbezi
Mwaka huu agombee huku
 
kazi yake ni nini? nyie ndo vilaza mnaoamini kazi ya wabunge ni mipasho na vijembe bungeni tu na kuwasifia kuwa wanajua kuongea,inatusaidia nini sisi masikini?
Baambie mkuu
Huyo mpambe kaleta mapicha mengi ya show off wakati nina uhakika anatoka mabonde kuinama kusiko na hata barabara za changarawe.
Hizo ndo barabara zilizopo Mbezi Beach karibu yote, na wapambe wanachekekea utafikiri hawana akili nzuri.
 
Pole mkuu, siyo mimi ndiyo kawaida ya ukweli, maumivu yakizidi chemsha mwarobaini, utakusaidia.

6.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaki Okada wakifungua kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam. Wengine ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadiki, Meya wa Konondoni Mhe, Mbunge wa Kawe Mhe Halima Mdee na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dar es salaam Ndg Ramadhani Madabida
 
Mpambe wa show off!!
Hiyo barabara ni nuksi na ngoma nzito ya uozo!
Halima hana mchango WOWOTE HAPO.

Hiyo ni licha ya ukweli kuwa barabara hiyo ni bomu maana -50% ya alama za barabarani zishagongwa au kupotea
-miundo mbinu ya maji ni bomu, maji sehemu ya Samaki Wabichi na Salsal/Africana yanapita juu ya barabara
-tayari barabara ina mbonyeo sehemu kadhaa
Kutokana mvua za hivi karibuni service roads za udongo zimechukuliwa

Hayo ndo mafanikio ya kuwa na wasimamizi vipunga kama unsowasifua.
 
Unamzungumzia huyu mbunge anayefanya biashara ya utumwa kuwapeleka wasichana wa kitanzania uarabuni na kuishia kupigwa risasi na matajiri wa kiarabu? Hafai hata kidogo huyo mtu nimemchukia sana tena naomba watu wa temeke iwe mwanzo na mwisho kumchaguwa mfanyabiashara za watumwa.ameshindwa nini kuwatafutia kazi hapa nchini mpaka awapeleke uarabuni? Angempeleka bi nti yake.
 
ila ukubali na mradi wa ajira za uarabuni bila kusahau mashindano ya hashim lundenga .
 
hello wadau,

juzi kati nilikuwa nazunguka zunguka wilaya ya temeke, yaani lami za kutosha. I mean mitaa kibao kuna barabara za lami.

Sasa nikajiuliza, hawa jamaa wa temeke mapanga shaa, si watuazime tu mbunge wao kwa miaka kadhaa ili na sisi huku makongo juu tupate lami jamani?

Yaani barabara nzima mashimo tupu, mpaka watu wanayaita vibakuli!!!!. Mahali pa kwenda dakika saba (mwenge -makongo juu) unatumia dakika 45!

Hivi wabunge wengine, mfano huyu wa temeke wanatumia mbinu gani mpaka majimbo yao yana barabara za lami kibao?

Acheni unoko tmk, tupeni huyo jamaa na sisi tukae nae kidogo halafu tutawarudishia.

so mbunge alitoa hela yake mfukoni kujenga barabara...! Dah elimu uraia na kujitambua inahitajika sana tz..
 
Hello wadau,

Juzi kati nilikuwa nazunguka zunguka Wilaya ya Temeke, yaani lami za kutosha. I mean mitaa kibao kuna barabara za lami.

Sasa nikajiuliza, hawa jamaa wa Temeke mapanga shaa, si watuazime tu mbunge wao kwa miaka kadhaa ili na sisi huku Makongo Juu tupate lami jamani?

Yaani barabara nzima mashimo tupu, mpaka watu wanayaita vibakuli!!!!. Mahali pa kwenda dakika saba (Mwenge -Makongo Juu) unatumia dakika 45!

Hivi wabunge wengine, mfano huyu wa Temeke wanatumia mbinu gani mpaka majimbo yao yana barabara za lami kibao?

Acheni unoko TMK, tupeni huyo jamaa na sisi tukae nae kidogo halafu tutawarudishia.

Halafu nasikia temeke hamna shida ya maji kama ubungo na huku unyaturuni ikungi
 
Mpambe wa show off!!
Hiyo barabara ni nuksi na ngoma nzito ya uozo!
Halima hana mchango WOWOTE HAPO.

Hiyo ni licha ya ukweli kuwa barabara hiyo ni bomu maana -50% ya alama za barabarani zishagongwa au kupotea
-miundo mbinu ya maji ni bomu, maji sehemu ya Samaki Wabichi na Salsal/Africana yanapita juu ya barabara
-tayari barabara ina mbonyeo sehemu kadhaa
Kutokana mvua za hivi karibuni service roads za udongo zimechukuliwa

Hayo ndo mafanikio ya kuwa na wasimamizi vipunga kama unsowasifua.

MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), ameihoji serikali kuhusiana na ujenzi wa barabara za Kawe katika bajeti ya mwaka huu, ambazo hazikutekelezwa katika bajeti ya mwaka jana.

Mdee alitoa kauli hiyo bungeni hapa jana alipokuwa akiuliza swali la nyongeza.

"Katika bajeti ya mwaka jana tulitenga shilingi bilioni 10 kwa ajili ya ‘Ring Roads' lakini Kawe hakukuwa na matengenezo yoyote, je, serikali inasemaje kuhusiana na bajeti ya mwaka huu, itatengeneza kilomita ngapi katika barabara zote za Kawe?" alihoji Mdee.

Katika swali la msingi, mbunge huyo alitaka kujua mpango mpana wa serikali wa kujenga kwa kiwango cha lami barabara za ndani.

Katika swali jingine la nyongeza lililoulizwa na Mbunge wa Viti Maalumu, Ester Bulaya, aliihoji serikali kuhusiana na ukarabati wa kipande cha barabara ya Kunduchi Mtongani ambacho kimeharibika na kimekuwa kikisababisha ajali za mara kwa mara.

Akijibu maswali hayo, Naibu Waziri wa Ujenzi, Injinia Greson Lwenge, alisema serikali imetenga sh bilioni 28 katika bajeti ya mwaka huu kwa ajili ya ujenzi wa barabara mbalimbali nchini.

Alisema fedha hizo zinatosha kuanza kujenga barabara hizo na nia ya serikali ni kutekeleza miradi yote iliyoanzisha.
 
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), ameihoji serikali kuhusiana na ujenzi wa barabara za Kawe katika bajeti ya mwaka huu, ambazo hazikutekelezwa katika bajeti ya mwaka jana.

Mdee alitoa kauli hiyo bungeni hapa jana alipokuwa akiuliza swali la nyongeza.

“Katika bajeti ya mwaka jana tulitenga shilingi bilioni 10 kwa ajili ya ‘Ring Roads’ lakini Kawe hakukuwa na matengenezo yoyote, je, serikali inasemaje kuhusiana na bajeti ya mwaka huu, itatengeneza kilomita ngapi katika barabara zote za Kawe?” alihoji Mdee.

Katika swali la msingi, mbunge huyo alitaka kujua mpango mpana wa serikali wa kujenga kwa kiwango cha lami barabara za ndani.

Katika swali jingine la nyongeza lililoulizwa na Mbunge wa Viti Maalumu, Ester Bulaya, aliihoji serikali kuhusiana na ukarabati wa kipande cha barabara ya Kunduchi Mtongani ambacho kimeharibika na kimekuwa kikisababisha ajali za mara kwa mara.

Akijibu maswali hayo, Naibu Waziri wa Ujenzi, Injinia Greson Lwenge, alisema serikali imetenga sh bilioni 28 katika bajeti ya mwaka huu kwa ajili ya ujenzi wa barabara mbalimbali nchini.

Alisema fedha hizo zinatosha kuanza kujenga barabara hizo na nia ya serikali ni kutekeleza miradi yote iliyoanzisha.
Mkuu hizo ni harakati za motto anyeanza ubunge!
Kuuliza maswali tu na kujibiwa kiujumla sicho mbunge alchotumwa kufanya.
Halafu mbunge anabweteka kuwa ingalau kauliza swali bungeni, jimboni hakua kinachoenda, na maspringi ya magari yetu yanakufa.
Ndio maana twasema heri a Mtemvu, haakati zake zinonekana wazi jimboni kwake.
 
Mpambe wa show off!!
Hiyo barabara ni nuksi na ngoma nzito ya uozo!
Halima hana mchango WOWOTE HAPO.

Hiyo ni licha ya ukweli kuwa barabara hiyo ni bomu maana -50% ya alama za barabarani zishagongwa au kupotea
-miundo mbinu ya maji ni bomu, maji sehemu ya Samaki Wabichi na Salsal/Africana yanapita juu ya barabara
-tayari barabara ina mbonyeo sehemu kadhaa
Kutokana mvua za hivi karibuni service roads za udongo zimechukuliwa

Hayo ndo mafanikio ya kuwa na wasimamizi vipunga kama unsowasifua.
Mradi wa barabara ukiisha mkandarasi anapewa mwaka zaidi.kuangalia mapungufu na yanapotokea hutakiwa kufanya matengenezo kwa gharama zake,wakati huo kuna asilimia fulani ya malipo yake ya mwisho inakua imezuiwa hadi kipindi cha uangalizi kiishe.
 
Mkuu hizo ni harakati za motto anyeanza ubunge!
Kuuliza maswali tu na kujibiwa kiujumla sicho mbunge alchotumwa kufanya.
Halafu mbunge anabweteka kuwa ingalau kauliza swali bungeni, jimboni hakua kinachoenda, na maspringi ya magari yetu yanakufa.
Ndio maana twasema heri a Mtemvu, haakati zake zinonekana wazi jimboni kwake.

Hivi ni harakati gani Mtenvu aliwahi kuifanya unayoifahamu kuhusu ujenzi wa barabara Temeke? location na Geographia ya Temeke ndiyo inamfavour katika ujenzi na barabara na sio Harakati zake binafsi. Yeye harakati zake kubwa ni kuexport Hg kwenda Oman
 
Hayo uliyoandika ni mneno ya akili ndogo kwa hoja kubwa.
Na kama ndio akili ya mbunge tuliye naye Kawe tumekwisha!!
 
Back
Top Bottom