Jaman sisi wa huku mikoani tembo imekua kero kubwa sana

Jaman sis wa huku mikoani tembo imekua kero kubwa sana yaan kutwa nzima untembea na tembo hadi unaona kero,watu wanajiongeza wanalima bustani ili wajiajiri tembo wanakuja kula mazao yote na kuharibu mazao mengne
Serikali inatakiwa ichukue hatua mapema make vijana tunaweza kuchukulia kam fursa make sasa wamezidi ni mwaka wa tatu huu tunahangaika tunaomba serikal iziondoe hukuView attachment 3651589View attachment 3651589View attachment 3651590
View attachment 3651591
Yani unalima bustani kurafuta hela wakati hela unayo tayari pembeni ..walipo sema pembe mali we ulijua za mbuzi? Jiongezee nchi ishakuwa vagarant hii
 
Jaman sis wa huku mikoani tembo imekua kero kubwa sana yaan kutwa nzima untembea na tembo hadi unaona kero,watu wanajiongeza wanalima bustani ili wajiajiri tembo wanakuja kula mazao yote na kuharibu mazao mengne
Serikali inatakiwa ichukue hatua mapema make vijana tunaweza kuchukulia kam fursa make sasa wamezidi ni mwaka wa tatu huu tunahangaika tunaomba serikal iziondoe hukuView attachment 3651589View attachment 3651589View attachment 3651590
View attachment 3651591
Picha bila maelezo ni kutupotezea vifurushi.
 
Hivi Tembo hawaliwi...?
 
Back
Top Bottom