Jaman sisi wa huku mikoani tembo imekua kero kubwa sana

Jaman sisi wa huku mikoani tembo imekua kero kubwa sana

Ni jambo jema kuwa Tembo wameongezeka baada ya malkia wa vipusa kukamatwa

1786909539295.png
 
Nyie ndiyo mmevamia makazi yao waliyokuwa wakiishi miaka nenda rudi
Tatizo wanadam wanajiona
Kama hii dunia wao ndiyo
Wana haki nayo tu kuishi


Ova
 
Nyie ndiyo mmevamia makazi yao waliyokuwa wakiishi miaka nenda rudi
Tatizo wanadam wanajiona
Kama hii dunia wao ndiyo
Wana haki nayo tu kuishi


Ova
Mkuu, unamaanisha nini ifikie hatua serikali iwaweke hawa wanyama kwenye zoo, ifuge kwa tija kama wanavyowashauri wafugaji wetu.
Sio wanyama kujitembeza kwa holela namna hii ni hatari sana.
 
Huku morogoro tunaishi nao fresh TU Tena kuna mwaka walipita stend ya mabasi ya msamvu
Kutoka kijiji cha Ubena, Msolwa mpaka Mdaula wilaya ya Chalinze kuelekea vijiji vya Kidugalo, Visaraka, Makobola mpaka Ngerengere Wilaya ya Morogoro Vijijini Tembo wamefanya uharibifu mkubwa kuanzia maisha ya watu mpaka mazao.

Ikumbukwe eneo hilo lina kambi za jeshi za Sangasanga na Kizuka; hivyo hata askari wa kambi hizo hawako salama maana baadhi yao wamepata madhara.

Maofisa wa wanyamapori ambao ndiyo wamiliki wa Tembo hao kila walipoitwa wanasema binadamu ndiyo waliovamia njia za Tembo. (ushoroba)

Ni vema serikali iangalie uwezekano wa kuwahamishia Tembo hao kwenye hifadhi za mbali, ikibidi wapelekwe Kaskazini mwa Tanzania ili kuwaepusha wananchi na madhara ya mara kwa mara kutoka kwa wanyama hao.

Maana inadaiwa siku za nyuma walihamishiwa WamiMbiki lakini eneo hilo ni karibu sana na misitu ya jeshi Tembo hao wanarejea kuendelea na maisha yao mahali hapo.

Na bila shaka kundi la Tembo hao ndiyo wanaofika karibu na mji wa Morogoro wakitokea Kata ya Gwata kwenye safi za milima ya Maseyu.
 
Shida connection unaweza kuupata mzigo lakn ukakosa pa kuuza au ukauuza bei ndogo

Mim sio chawa wa mijus mkuu
Achana nayo mazee pana watu kutoka Malawi wanaua sana tembo kwao wanadanganywa meno ni biashara Tanzania wanaishia kuwauzia polisi kwa mtego wanadakwa nimeona wanne wakidakwa hapo Tunduma border na kupelekwa kwa huyo mtaalaamu wao ayathibitishe wahuni wapelelwe jela tena anakua mtu mmoja tu mzigo wote hawana connection wanaleta kama mchele wa swanga..
 
Back
Top Bottom