Tembelea www.wotepamoja.com nahitaji ushauri na mawazo mbadala

Tembelea www.wotepamoja.com nahitaji ushauri na mawazo mbadala

Kiganyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
1,242
Reaction score
765
Wakuu sana JF, Heshima mbele!

Nimefungua tovuti ndogo tu kwa ajili ya kuendelea kupanua wigo wa upashanaji habari hapa nchini. Kama ilivyo ada katika zama hizi za utandawazi na tukiwa tunaelekea katika uhuru kamili wa upashanaji habari nimeona si vibaya sana nami nikawa mmoja kati ya wale ambao watatumika kama chombo cha kuwafikia wale ambao hawajafikiwa.

Ninahitaji maoni, ushauri na hata habari na naomba niandikie kupitia info@wotepamoja.com. Vileviele ningeomba ushauri katika kuandaa Logo yetu na kama kuna hata mmoja hapa JF mwenye uwezo wa kunisaidia ku sanifu hiyo nembo nitashukuru zaidi.

Tafadhali kwa maoni na mengineyo mbali ya anuani niliyowapeni unaweza kunipata pia katika kiganyi@gmail.com, nashukuruni sana.

Mungu Bariki JF, Bariki Tanganyika.
Kiganyi wa-JF
Wotepamoja online magazine - wotepamoja.
 
Mkuu naomba ushauri zaidi, na kama unaweza hebu angalia hako ka logo nilikodizaini leo kama kanafaa.

Natanguliza Shukrani.
Kiganyi, JF.
Wotepamoja online magazine - wotepamoja

hiyo logo imekaa poa kwasababu ukiitazama kuna kuna mwanaume, kuna mtoto na mwanamke halafu hizo circles zinaonesha muunganuko flani kwa hiyo zinaleta picha ya watu kuwa pamoja. Pia rangi ulizotumia nzuri kutokana na background yako japo kuwa kuna part ya maneno umetumia light green inakuwa kama imevififia sana.
Lakini still inaonesha kazi nzuri mkuu. Jitahidi ku iadvertise sana
 
539586_387617204627947_443035394_n.jpg

Hii LOGO Ipo Poa sana ila ifanye kidogo iwe kubwa na rangi zake zibadilike kidogo.

Pia maandishi yakae upande wa KULIA wa LOGO.

Hebu angalia LOGO nyingi na hata ya JF utaona ninalolisema.

Kwa haraka haraka unatakiwa ku-MIRROR Logo yote kwa 90 degree (perpendicular) na ubadilishe rangi.

Vinginevyo imekaa poa sana na HONGERA ZAKO.
 
Mkuu Sikonge kwanza lini unarudi Sikonge naona yule jamaa wa bodi ya Tumbaku ameshindwa kuleta maendeleo pale.

Sasa Mkuu katika masuala ya IT mimi sio mzuri sana hako ka logo nime kadizaini usiku kucha ngoja baadaye nitajaribu kuweka nyingine uone kama zinafaa halafu hata kuikuza nimejaribu sana ila nimeshindwa nifanyeje mkuu??

Mengineyo Shukrani za dhati sana na mapambano yaendelee!

Kiganyi, JF.
Wotepamoja online magazine - wotepamoja
 
hiyo logo imekaa poa kwasababu ukiitazama kuna kuna mwanaume, kuna mtoto na mwanamke halafu hizo circles zinaonesha muunganuko flani kwa hiyo zinaleta picha ya watu kuwa pamoja. Pia rangi ulizotumia nzuri kutokana na background yako japo kuwa kuna part ya maneno umetumia light green inakuwa kama imevififia sana.
Lakini still inaonesha kazi nzuri mkuu. Jitahidi ku iadvertise sana

Mkuu Shukrani sana kwa Support...

Nipe maujanja ya kuitangaza na kama vipi nisaidie mkuu!
 
Mkuu Shukrani sana kwa Support...

Nipe maujanja ya kuitangaza na kama vipi nisaidie mkuu!

Itupie kwenye groups facebook, twitter kwenye blogs za watu wengne unaweza pia mcheck djchoka akaitupia kwenye blog yake maana hanaga noma
 
Kwa mtazamo wa haraka haraka, naona kazi ni nzuri, ila kama walivyoshauri wadau hapo juu, kuna maneno kwene logo hayaonekani vizuri. "Unveiling news horizon" weka rangi inayoonekana zaidi hata kama ni kijani tumia iliyokolea zaidi.
Pili, naona kama umeacha nafas kubwa sana juu ya "headlines" kwenye hiyo top banner, labda unge squeeze kidogo kwa ku crop hiyo logo juu na chini.
Sina uhakika kama "Entertainment" ina plural..
 
Mkuu asante sana kwa ushauri murua...

Naomba ukipata wasaa wa kutosha uangalie tena kwa makini na unitaarifu mapungufu mengine.

Natanguliza shukrani mkuu.

Kiganyi, JF.
Afya - Wotepamoja
 
Back
Top Bottom