Tembelea JamiiForums bure (bila kifurushi) kwa kutumia Freebasics

Kajole

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
1,628
2,000
Bando la chuo sishindwi kuingia yaan ni 500MB kwa 500 wiki zima nashindwaje kwa mfano?
Asante vodacom
 

reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,411
2,000
FreeBasics mimi naitumia kwa Jf tu si kingine
na ni baadh tu ya social network/web/page ndo inakubali na pamoja na hlo huko inakokubali pia kuna limitations ya matumiz , kwaio hutainjoy kama anayetumia data, si unajua tena vya bure karaha
 

reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,411
2,000
Hamna kitu hapo!...hiyo freebasic ipo slow kama konokono!
ndugu kuhusu u slow nakataa kata kata, data speed n ile ile, shda ipo kwenye ku upload file, kuview image na videos n.k ya kwa ufup zile mambo zinazotumia mb kwa wing wamelimit na hata ukifungua app ya jf through data na through freebasics utaona walls kwenye display zinatofautiana kwa namna flan
 

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
27,803
2,000
ndugu kuhusu u slow nakataa kata kata, data speed n ile ile, shda ipo kwenye ku upload file, kuview image na videos n.k ya kwa ufup zile mambo zinazotumia mb kwa wing wamelimit na hata ukifungua app ya jf through data na through freebasics utaona walls kwenye display zinatofautiana kwa namna flan
Sasa kama huwezi kuupload file,huwezi kuview image,videos n.k hiyo ni internet au ni kituko??!
 

reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,411
2,000
Naomba kusaidiwa contact za mmiliki wa freebasics/fb kama email address, website n.k
ingia google andika free basics submissions , kama lengo lako ni kuingza app yako kwenye free basics, kama lengo nikuwasiliana na Mark Zuckerberg mwenyewe nenda fb kwenye address zao.
 

reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,411
2,000
Sasa kama huwezi kuupload file,huwezi kuview image,videos n.k hiyo ni internet au ni kituko??!
hahaaa ndo raha ya vya bure na ukikubali lazma uwe mpole,

No Video download
No streamings
No high resolutions image,
No file uploads,
No file transfer,
No videos,
No GIFs
No VoIPs.
No files download,
No images download
No live videos

ukiweza hayo mashart basi wewe umaskn haujakosea njia umempata mwenyewe
 

reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,411
2,000
Mbona kwenye kuchagua app hii ya jf haipo
jarb link iliyopo kwenye uzi wangu mkuu mi inafunguka moja kwa moja, ukishafungua pale juu wamefanya kuandika "inayotumika zaidi Jamiiforums" ipo juu imetengwa na wenzake kdg, kama napo ikigoma zingatia paragraph zangu mbili za mwisho hasa ya pili kutoka mwisho ila mpk asahv m nimejarb inakubali mkuu
Acha izo mkuu jf sa ivi haipatikani kwenye freebasics
mkuu unapopinga kitu usipende kupinga moja kwa moja kama huna uhakika, uliza humu n wangap wanatumia free basics kuingia jf au soma hata comments za nyuma, pia ungetilia maanan paragraph zangu za mwisho kbsa usingeandka hv mkuu,
 

reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,411
2,000
Mbona kwenye kuchagua app hii ya jf haipo
Acha izo mkuu jf sa ivi haipatikani kwenye freebasics
ni lazima uwe memba wa FB? mbona nikizima data inagoma? au mpaka uishiwe kabisa?
Mm simi yangu nimebadili kutoka j5 sasa natumia c7 inagoma free basic kama sina bando

Kitu ambacho watakua wameongeza kwenye terms zao(sina uhakika) kama kweli mmetimiza vigezo vyote hapo juu na bado inagoma, basi watakua wameingza pia kigezo cha aina ya simu unayotumia wakianzia

Mid range smartphones,
high end smarphones pamoja na
flagship smartphones

wakiamin watumiaji wa simu hzo bando haliwez kua shda,

jarb kuelewa paragraph yangu ya pili kutoka mwisho ndo hili linaingia.
 

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,371
2,000
Siku ya jana kifurushi cha mb na cha kupiga simu vilikata saa 7:30 mchana na pesa ya kujiunga tena ikakokosa ukizingatia nilikuwa nimeamua kushinda tu home, hivyo sikuwa na namna ya kuwapata masela angalau ningongee buku ya mb 200 kwa mtandao wa voda.

Hadi kufika saa mbili usiku nilikuwa niko vibaya, yaani nimeshaumwa vya kutosha kwa kuwa sikuwa na namna ya kuingia jamii forum ukuzingatia kuna mada moto za Makonda. Niliona kama nabanwa pumzi kwa kutengwa mbali na habari hasa hizi za mitandaoni na especially JF.

Ilipofika saa tatu usiku hali ikawa mbaya, nikaanza kuangaika namna gani naweza access JF. Nikabahatika kupata 500 nikaweka kifurushi cha kupiga nikaanza kutafuta masela kama kuna mwenye buku mpesa anirushie. Bahati mbaya nako nikagonga mwamba.

Ilipofika saa 4 nikakumbuka "freebasics.com" hii ni website unayoweza access JF bila data na bila kulipia. Nikaingia humo bwana, kizuri nikakuta kuna app yake humo nayo unaidownload bila kuwa na mb. Nikainstore, nikazama JF, nikapoza kiu yangu ya kukosa habari kwa zaidi ya masaa 8. Hadi sasa niko najimwambafy hapa na JF bure bila malipo, na hata hii post nimeipost bureeeeee kwa raha zangu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom