na ni baadh tu ya social network/web/page ndo inakubali na pamoja na hlo huko inakokubali pia kuna limitations ya matumiz , kwaio hutainjoy kama anayetumia data, si unajua tena vya bure karahaFreeBasics mimi naitumia kwa Jf tu si kingine
ndugu kuhusu u slow nakataa kata kata, data speed n ile ile, shda ipo kwenye ku upload file, kuview image na videos n.k ya kwa ufup zile mambo zinazotumia mb kwa wing wamelimit na hata ukifungua app ya jf through data na through freebasics utaona walls kwenye display zinatofautiana kwa namna flanHamna kitu hapo!...hiyo freebasic ipo slow kama konokono!
Sasa kama huwezi kuupload file,huwezi kuview image,videos n.k hiyo ni internet au ni kituko??!ndugu kuhusu u slow nakataa kata kata, data speed n ile ile, shda ipo kwenye ku upload file, kuview image na videos n.k ya kwa ufup zile mambo zinazotumia mb kwa wing wamelimit na hata ukifungua app ya jf through data na through freebasics utaona walls kwenye display zinatofautiana kwa namna flan
Naomba kusaidiwa contact za mmiliki wa freebasics/fb kama email address, website n.k
Namaanisha hata mikitumia 500 kwa siku sio mbay...mb500 kwa siku mi zinanitosha sanakwaio mkuu Mb500 kwa wiki zinakutosha kbsa tena chuo?
ingia google andika free basics submissions , kama lengo lako ni kuingza app yako kwenye free basics, kama lengo nikuwasiliana na Mark Zuckerberg mwenyewe nenda fb kwenye address zao.Naomba kusaidiwa contact za mmiliki wa freebasics/fb kama email address, website n.k
hahaaa ndo raha ya vya bure na ukikubali lazma uwe mpole,Sasa kama huwezi kuupload file,huwezi kuview image,videos n.k hiyo ni internet au ni kituko??!
jarb link iliyopo kwenye uzi wangu mkuu mi inafunguka moja kwa moja, ukishafungua pale juu wamefanya kuandika "inayotumika zaidi Jamiiforums" ipo juu imetengwa na wenzake kdg, kama napo ikigoma zingatia paragraph zangu mbili za mwisho hasa ya pili kutoka mwisho ila mpk asahv m nimejarb inakubali mkuuMbona kwenye kuchagua app hii ya jf haipo
mkuu unapopinga kitu usipende kupinga moja kwa moja kama huna uhakika, uliza humu n wangap wanatumia free basics kuingia jf au soma hata comments za nyuma, pia ungetilia maanan paragraph zangu za mwisho kbsa usingeandka hv mkuu,Acha izo mkuu jf sa ivi haipatikani kwenye freebasics
Mbona kwenye kuchagua app hii ya jf haipo
Acha izo mkuu jf sa ivi haipatikani kwenye freebasics
ni lazima uwe memba wa FB? mbona nikizima data inagoma? au mpaka uishiwe kabisa?
Mm simi yangu nimebadili kutoka j5 sasa natumia c7 inagoma free basic kama sina bando