Tembelea JamiiForums bure (bila kifurushi) kwa kutumia Freebasics

Hili jukwaa nimesikia humu si mara moja hv lipo kweli? Na lipo wapi,unajiungaje na maudhui gani yapo humo?
 
Siku ya kwanza nilijua utani nika pakua app, baada ya siku moja kuisha bando likakata usiku, nikaona ngoja nijaribu kutumie free basic mwanzoni ikagoma kufunguka nikafanya iv
1. Nikaenda pake kwenye ask.com nikaandika jamii forum ikaja
2. Nika search kama mtu anavyo search kwenye google ikafunguka
3. Ikifungua una long in unaendelea kama kawaida

Hatasaiv navyo tuma post hii natumia free basic sina kibando toka juzi
 
Ila unaweza enda kwenye huduma zaidi ukaandika jamii forums ikija fanya ku,add na uingie km hiyo ask.com
 
Tunao tumia freebasics tukutane hapa, tutoe maoni kuhusu freebasics inavyokufurahisha na kukuhuzunisha, Mimi hapa inaniboa kwenye kupost ukitaka kuweka attach files Mara igome Mara ikubali, ila inanisaidia sana.

Vipi wewe?
 
Back
Top Bottom