tatizo mnajifanya mnapendaa sanaaaaaaaaaaa ohooo baby, ohoooo siwez ishi bila weee
Maninaa... Kwa Madem wapi???
Saizi ni ngumu mnoooo kukuta Demu ana Jamaa mmoja
Kwa sababu kimahesabu, wanawake ni wengi kuliko wanaume.
Watakuja Hapa kunipinga , ila Narudia, ni ngumu mnoooo kwasasa, Dunia isiyo na maadili hii, et mwanamke akuambie " Baby uko pekeako"[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivo ukishalijua hilo... "Just Ishi naoo"...
Ukiwa naye, Chapaaaa Mbususu mpaka itoke vumbi...
Usipokua naye, fanya mambo yako, achana na mambo ya kutaka kujua anafanya nn. Yuko wapi[emoji23][emoji23][emoji23]
Zingatia::: Mwandishi wa Komenti hii. Ni kijana mdogo mwenye mke ( sio wa ndoa) na watoto wawili. kijana huyu hajawahi kupenda kindaki ndaki.
Nahata wakikwaruzana na Mwanamke wake huwa anamwambia moja kwa moja " Ohooo tunaachana tu, nalea wanangu, navuta mwanamke mwengine, wanawake walivyojaa ivi???".