Televised Interview on how the reforms of President Nyerere is changing the landscape of the country

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
10 years after independence, Thames Television's 'This Week' programme visits Tanzania to see how the reforms of President Nyerere is changing the landscape of the country. In this report respected Journalist Jonathan Dimbleby speaks to President Nyerere about his reforms and ideologies. First shown: 03/03/1977 If you would like to license a clip from this video please e mail: archive@fremantlemedia.com Quote: VT1504 16MM film original available

ukitaka kujua kilichoongelewa zaid pitia video hapa chini, NAOMBA AANZE MAGUFULI KUIPITIA KUJUA MAANA HALISI YA AZIMIO LA ARUSHA NA MISINGI YAKE,




cc@Pascal Mayalla Sky Eclat
 
Socialism was necessary for our country then at that particular time.
Mwl Nyerere alikuwa smart sana kuchagua Ujamaa maana ndio njia pekee iliyofanya Tanzania kutawalika. Tanzania ni mkusanyiko wa makabila yote africa ya kati,kusini,mashartiki na kaskazini hawa wote wana itikadi zao na taratibu zao. Ilikuwa lazima kuzibreak hizi tabia,koo,ufalme nk kuweza kuwa na Tanzania ya leo.
Bila Mwl kufanya hivyo,Wakoloni walitupa uhuru wakijua kuwa siku moja,Tanzania haitatawalika na watarudi kuchukua madini nk ambayo walikuwa na kiu nayo muda mrefu.
Mimi nathani,hatukukosea jambo hata kidogo na kama tulikosea basi tuangalie Kenya,Congo wanavyopata shda. Bila kusahau wanyaruanda na warundi leo watz tusingekuwa tunasikilizana maana mzungu angekuwa ametuchonganisha tayari.
Mwenyezi Mungu aweke roho ya Mwl Nyerere pahala pema peponi na amsamhe dhambi zake zote.
Nyerere alikuwa nabii wa watanzania na africa.

Nasikitika Tanzania ya leo tuna viongozi wakabila,waroho na wadini.
 
Nimeitazama documentary yote kwa umakini mkubwa, niseme tu kwamba pamoja na nia njema aliyokuwa nayo baba wa taifa, bado ukweli unabaki pale pale kwamba the world is not fair, and we can not all be equal, there will always be some sort of exploitation 'by man on another man', this is a natural law.
 
Kwanza asante kwa bandiko hili. Nitalidurusu baada ya kutulia ila nashauri Ras Simba pia aajiriwe kwa muda, ili afundishe, jamaa yetu apate uwezo wa kusikiliza madini kama haya na kuyaelewa, kisha kujaribu kuiga hata robo tuu!.

Paskali
Haha
 
Back
Top Bottom