Telegram ni bora kushinda Whatsapp Mara kumi

wameiba idea ya whatasap so hawawezi ipiku
Kwani ukitengeneza gari la miguu mitatu nami nikatengeneza gari kama yako sema yangu ikawa ya mguu mmoja na inasimama kabisa watu watashindwa kuniona mimi ni bora zaid yako kwa kuwa wewe ulianza?.
 
nimekubali 100% whatsapp wasipo jievaluate itakula kao
my take: wengi wetu tunatui telegram kwa marejeo ya uzoefu wa whatsapp kwa maana wengi tunatumia simu yenye os za android tu no sawa na whatsapp lakini tunapo root simu means you go beyond ni sawa na telegram is more more million miles far away from whatsapp
 
Telegram unaunga channel zako za movies na tv seriez basi unatumiwa tu moja kwa moja...
Screenshot_2017-03-31-23-21-28.png
 
Baraka Julius:
:
[emoji419]Please Read This Pinned Message [emoji116]

JOIN HERE [emoji116]
[emoji432]eBookz Group..

Join group chat on Telegram

Unaweza KuRequest Kitabu Chochote Unacho Kitaka, Pia kama unacho Kitabu Alicho Request Mwenzio Unaweza Kushare...

Members Wapya Unaweza ku search kwenye Group Section, Hapo unaweza kuona vitabu ambavyo Vimekuwa Shared Before ...
Don't request Same Book Again and Again..

Kuna Baadhi Ya vitabu Vipo Kwenye Format Ya Epub..

[emoji420] For Ios Users Unaweza download "iBooks" Kutoka Kwenye Appsstore Hiyo App Itakusaidia Ku Open Epub File Format..

[emoji420]For Android Users Unaweza Kudownload "Play Books" au "Moon + Reader" au "FBreader" au "Universal Book Reader" Kutoka Playstore..

Download App Moja kati ya Hizo Zitakusaidia KuOpen Epub File Format..
Kama ni PDF basi tumia WPS Office ni nzuri kwa pdf...

[emoji615]️WARNING :
[emoji724]NO SPAM, [emoji724]NO PORN, [emoji724]NO STICKERS..
[Topics only About Bookz]
[emoji120] Don't Disturb Group Members With Private Messages..
[Mtu Mwingine unaweza Msumbua Pvt then Ata Report Account Yako]
" Please Understand This Is Not A Dating Or Flirting Place"

THANKS

Charlie popote ulipo tafadhali rejoin kwa link mpya iliyowekwa.

decomm
 
Tutumie link hii [emoji116]

eBookz Group.

Unaweza KuRequest Kitabu Chochote Unacho Kitaka, Pia kama unacho Kitabu Alicho Request Mwenzio Unaweza Kushare..

decomm
 
Hiyo Telegram iko user friend kuliko Whatsapp?
Maana Whatsapp nahisi iko popular kwa sababu ni user friend. Labda kwa sababu siijue vyema hiyo Telegram.
 
Back
Top Bottom