zilete fastaKama unatumia telegram basi utakuwa umeshuhudia kama bado basi jua kuwa;
1. Ukiwa na telegram unaweza kudownload movies.
2. Unaweza kudownload Tv series.
3. Unaweza kudownload videos na audios kutoka youtube
4. Unaweza kudownload applications za android
5. Unaweza kushindana games na rafiki zako
6. Unaweza kudownload vitabu mbalimbali hata ambavyo vinauzwa kwenye mitandao
Na mengine mengi...
Haya yote unaweza kuyafanikisha ukisearch bots. Muda si mredu nitawaletea bots hapa.....
Ni application iliyo sawa na whatsapp.Kwani hyo telegram ndio inakuaje
Poa sana mkuu, itakaponishinda nitakujaNi application iliyo sawa na whatsapp.
Kuidownload fuata hii link.
Telegram - Android Apps on Google Play
Ninachoipendea mimi ni uwezo wake wa kutuma mafaili na doc mbalimbali.
Pia ukiinstal kwenye pc inakubali bila shida tofaut na wosap.
Sema wosap imekuwa popular
Unajua kusema kitu ni the best mara nyingine ni subjective maana kwa watu wa kawaida feature zote hizi haziwasaidii wengine wanataka kutuma message, audio, video na picha basi...
Ndio maana bado whatsapp itakuwa bora kwa "Majority" ya watu na hii itakuwa bora kwa watu wachache; Whatsapp ina 1 billion active users na Telegram ina 100 million...wanajua target audience yao