Telegram ni bora kushinda Whatsapp Mara kumi

HB.com

JF-Expert Member
Oct 19, 2015
608
637
App ya telegram ni nzuri zaid kuliko Whatssap kuna anaebishaa????

Telegram group ni 5,000 members kwa supergroup...

Pia naipenda kwenye kushare mafile km pdf, ppt, dox kwa haraka..

Kwangu pia naona ni nyepesi zaidi ya whatsapp japo kwa umaarufu whatsapp inaongoza
 
Kuna chanels na bots ambazo ukeza jiunga nazo utapata movies na series mpya punde tu zinapotokea.

U dont need to have someones number to add them to a group, all u need is username. Hapo usalama kuimarishwa kweli.

Hakuna limitations ya size ya file ambayo unatuma...


4233d8328beb95f040f99793d7dd7421.jpg
eed3f77eda619e9e34386e8cea0c892f.jpg
f3015f8a6bac06f7b9e3dd25f439f31f.jpg
9daf9d4ab31a11600394e71b4213d154.jpg
7dcf6c4255f144f3b14b61cadd0b334c.jpg
 
Ninachoipendea mimi ni uwezo wake wa kutuma mafaili na doc mbalimbali.
Pia ukiinstal kwenye pc inakubali bila shida tofaut na wosap.
Sema wosap imekuwa popular
 
How unaweza jiunga na hizo channels? Nataka ni install but first nipe elimu kidogo
 
Unajua kusema kitu ni the best mara nyingine ni subjective maana kwa watu wa kawaida feature zote hizi haziwasaidii wengine wanataka kutuma message, audio, video na picha basi...

Ndio maana bado whatsapp itakuwa bora kwa "Majority" ya watu na hii itakuwa bora kwa watu wachache; Whatsapp ina 1 billion active users na Telegram ina 100 million...wanajua target audience yao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom