Telegram ni bora kushinda Whatsapp Mara kumi

Naomba link ya vitabu pdf telegram

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Telegram sio ya mchezo mchezo, katika pekua pekua zangu nimekutana na hii channel
173227cd756a2c681bb43624b22b36d0.jpg


Inashusha muvi kali tu kila baada ya sekunde kadhaa
 
Live long Telegram.

Huu ni mwaka wa pili natumia telegram, sms na docx za soft copy zote tangu nianze kuitumia zipo.

Hata ofisi yangu wakiilipua nitaendelea kudunda tu.
 
Live long Telegram.

Huu ni mwaka wa pili natumia telegram, sms na docx za soft copy zote tangu nianze kuitumia zipo.

Hata ofisi yangu wakiilipua nitaendelea kudunda tu.
,mkuu mimi huu ni mwaka wa tatu notes zote zipo.....
 
Whatsapp tunaitumia sababu ya mazoea tu ila Telegram is the Best na sasa wameanza call zote voice na video call wanafanya testing europe ikija mpaka huku kwetu itakuwa noma sana.
Calls tayar mkuu, video ndo bado

invest what you are willing to lose
 
Ninachoipendea mimi ni uwezo wake wa kutuma mafaili na doc mbalimbali.
Pia ukiinstal kwenye pc inakubali bila shida tofaut na wosap.
Sema wosap imekuwa popular
Nipee msaaada mkuu niistall katika pc
 
Ungesema ni bora kwa wewe, kila mtu anajua kilicho bora kwake, mm naamini whatsapp ni bora kuliko telegram kulingana na matumizi yangu

Group watu 5000 wkt watu wakiwa 200 tu naona wengi

Kizuri chajiuza, ingekuwa bora zaidi ingetumiwa na wengi basi

Sema wabongo tunapenda kujiona wajuaji sana pasi na kufanya tathmin, nimetumia sana telegram, but kwa whatsapp bado sana

According to me
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom