Teknolojia ya Tanzania

Teknolojia ya Tanzania

kabiriga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
1,163
Reaction score
1,214
Hatuwezi kujikita kwenye siasa na kusifiwa kwa lugha yetu adhimu ya kiswahili,au kutatua migogoro au kuchangia majeshi kwenye vikosi vya kulinda amani tukidhani tutaheshika duniani kwa muda wote.Mataifa mengi yanayo heshimika duniani kote ni yale yaliyo wekeza ktk technologia ,kwa kuwajari wanasayansi na wagunduzi na kuwa surpot ktk kazi zao.Hapa kwetu tunaongea kuwaleta wawekezaji tu kama sehemu ya maendeleo yetu .tufunguke akili tuwekeze kwenye tekinolojia alafu tutaona matunda yake.
 
Mfumo wa nchi ni mmbovu mmbovu na hati viongozi wake ni wa hovyo hovyo, wameshindwa kutekeleza hili si kwamba hatuna uwezo, bali sio kipaumbele katika sera zao za kifedhuli. Pasipo kuwekeza katika Elimu hasa ya Science and Technology na Uchumi hakuna maendeleo katika nchi.
 
Back
Top Bottom